Video: Mzee Makamba alipovunja mbavu za JK

Video: Mzee Makamba alipovunja mbavu za JK

"NAMNA HII NITABAKI KUWA MWANACCM..,daima nitaipenda CCM na sitachoka kuitumikia CCM..,imenilea, imenikuza na kunitunza. Utumishi wangu kwa CCM ni malipo yangu kwake.,ni kulipa fadhila kwa kunifanya kuishi kwa Amani, kwa kunifanya niishi kwa Heshima, Upendo na Uadilifu.

Ni CCM.,yenye hazina isiyokauka ya viongozi.,wanasiasa mahiri na hodari. Najihisi fahari niwapo pembeni ya wazee wangu kama MZEE MAKAMBA akiongea nami nikimsikiliza.,najifunza na kusoma ART OF PUBLIC SPEAKING.,ni mjuzi hasa Baba yangu Huyu...!"

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom