Video: My Favorite Preacher This Week...

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaah, let the fact be there
 
Ha!ha ustaadhi anapenda waliojazajaza hii hatari sana wenye wake zao humu wenye maubo yaliojazia jazia kuweni makini na sheh
 
Shehe hatari hawapendi wembamba hahaaaaa waliojaziajazia ni wanaokosha,eti awtizame tu basi moyo wake buruuuuudani mmmmmmh!!!!!
 
Ustaadh gani huyo mzinzi tu.
 
mahubiri gani,ye anaponda wenzake ila mwenyewe ndo wale wale
 
yaani kaelezea yupo emotional

Hawa ndio masheikh wanaotutia aibu waislam.Badala ya kutoa da'wa yeye anachochea uzinifu.Halafu hapo alikua anakemea wanawake (mamiss) kutembea uchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…