VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 6, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  <table style="width: 471px;" align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td style="width: 506px; padding-left: 7px; padding-right: 7px;"><table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">
  </td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
  [​IMG]
  </td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top">
  Wakati watu wengi duniani hufuga mbwa na paka kwenye majumba yao, jamaa huyu wa nchini Iran yeye ameamua kufanya kitu cha hatari zaidi kwa kumfuga simba na kutembea nae mtaani.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Video ya mwanaume huyo akimuogesha simba kwa kutumia bomba la maji imekuwa maarufu kwenye mitandao mbalimbali duniani.

  Katika VIDEO hiyo mwanaume huyo anaonekana akimshikilia simba pembeni ya barabara moja mjini Tehran na kumuogesha kama ambavyo watu huwaogesha mbwa wao.

  Mamia ya watu wanaonekana wakiwa wamesimama pembeni wakimuangalia na wengine wakimpiga picha mwanaume huyo akimuogesha simba wake.

  Angalia VIDEO hiyo chini.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; text-align: center; width: 491px;">
  </td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;">

  VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
  <object height="385" width="480">


  <embed src="http://www.youtube.com/v/ABvFiQ9UlXk?fs=1&hl=en_US&rel=0" type="application/x-shockwave-flash" allowscriptaccess="always" allowfullscreen="true" height="385" width="480"></object>
  </td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td style="width: 506px;" height="15"> <table style="width: 488px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"> <tbody><tr> <td style="width: 429px;">
  </td> <td style="width: 249px;">Chanzo: NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
  </td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td style="width: 506px;" height="30"> Haya Wabongo semeni tena huo ni Uchawi? au kiini Macho? mimi nitanunuwa simba nitembee nae hapo Dares-Salaam.
  </td></tr></tbody></table>
   
Loading...