Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,756
- 27,481
Soma uelewe mkuu. Adhan inayokera watu ni bidaa. Lazima iwe na kiasi isiwe kero kwa wengine. Sijasema adhan ni bidaaAdhana sio bidia usimuelewe vibaya ,bidia ni yale maneno baada ya adhana......
Mkuu adhana inao kera watu ni ipi? Na isio kera ni ipi sidhani kama madui wa usilamu ata uswali kimya kimya bila hata kutangaza watapenda ibaada yako.Soma uelewe mkuu. Adhan inayokera watu ni bidaa. Lazima iwe na kiasi isiwe kero kwa wengine. Sijasema adhan ni bidaa
Yaani mtu anatishwa na kukurupuka kisa kaambiwa hicho kitanda ni jeneza na kaburi lako? Halafu akishatishwa na kukurupuka, akifika msikitini anaambiwa akajilipue ili afe aende peponi akapewe bikira 72?Wanajua kutishia sana..ukiambiwa kitanda ni kaburi unakurupuka kitandani
Hoja zinafanana huyu anabwekea msikitini yule anabwekea kanisaniHoja ya sheikh bado haujajibu...kule kubweka kama MBWA kumetokana na maandiko?
Umesikiliza na kutaza video!?hayo ni maneno ya sheikh sio ya mtoa hojaMkuu mbona umetumia maneno makali sana?
Siyo wwe ndiyo umechelewa kuiona kwa kua 2001 ulikua huna smart phone!?Hii clip ina label ya tarehe 31 August 2001, ilikuaje ikafichwa muda woote huu? [emoji23]
Nimesikiliza kaka, lakini Sheikh anaweza kupotoka pia, angeweza kuwasilisha heading kwa namna nyingine huku alichokisema Sheikh kikibaki palepale.Umesikiliza na kutaza video!?hayo ni maneno ya sheikh sio ya mtoa hoja
Dunia haeshi maajabu. Imekuwa ni ustaarabu sasa kuoa mwanamke malaya. Mwanamke ambae katembea na kubadilisha zaidi ya wanaume 100. Na baada ya kutumika kote, ndipo anajitikeza ambae atatoa mahari kubwa.Wazee wa bikra 72 wanakuja kwa miondoko ya amapiano Mda sio mrefu kutufafanulia
Inawezekana , na sio tu sikua na smart phone hata hizo smartnohone tu Bingo hii sidhan kama zilikuwepo maana hata Facebuk haikuwepo wala jamii forums haikuwepo, 2001 nulikua darasa la 5 primary schoolSiyo wwe ndiyo umechelewa kuiona kwa kua 2001 ulikua huna smart phone!?
Inakuwa ni mtu amekosa usingizi sasa anakuja kusumbua watu mkose wote.Wanajua kutishia sana..ukiambiwa kitanda ni kaburi unakurupuka kitandani