ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,088
- 84,981
My Take: Wale wa Katiba Mpya wanaitwa huku watupe majibu.
Ruto ni muhuni tu, yaani msafara una hadi Harrier!!
Nani asiyetaka mambo mazuri lissu mwenyewe alifanya harambee apate v8 kabla ya kushtukiwa na wananchi wasio hata na baiskeli!
Basha wako ndo alikudokeza haya uliyoyaandika?Nani asiyetaka mambo mazuri lissu mwenyewe alifanya harambee apate v8 kabla ya kushtukiwa na wananchi wasio hata na baiskeli!