Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,648
- 75,732
Nyani ndiye ka-produce nini?
Nyani ndiye ka-produce nini?
Nipo kwenye daladala unanishauri nivae earphone kusikiliza?
daaah sorry nilichanganya madesa ni knock Down hilson Ne-yo na Kanye not perry.
Aise! Shida.
Aisee ni kweli wimbo una matusi mengi mno huyo mdau kasema ukweli nimeusikiliza hapa ila duuh matusi mengi
Mkuu upo????Hiyo track inafanana beat na melody na track ya kanye hilson na Ne-Yo.... sitaki kusema wamecopy lakini huenda wakati wanarekodi walikuwa wanaisikiliza
Nipo aseeh... kwema!Mkuu upo????
Kwema kabisaaNipo aseeh... kwema!
Pamoja mzee.Kwema kabisaa
Angalia mwishoni mwa video...
Dkt. Shika amenogesha kweli pale mwishoni.., daah..., hahahahahah...!!!Wimbo mzuri sana Dr.Shika ktk ubora wake