Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
wanajua kuimba!!!Wanajua nini!! Au kwa kumtaja Yesu!!?
wanajua kuimba!!!Wanajua nini!! Au kwa kumtaja Yesu!!?
Ndio ni ya kitambo but video ilikuwa bado haijatoka ndio imetoka leo, before ilikuwa imetoka audio only...mkuu labda ni mpya kwako,
nyimbo ya kitambo hii.
wanajiskiaRaimundo sikia, diamond platnumz anapondwa na wajinga wenye chuki ambao hawajui sababu gani wanamchukia diamond platnumz na inakuzwa tu, lkn hamna msanii anayependwa kama diamond platnumz kuanzia tz mpaka EA (endorsement alizokuwanazo zinaprove nguvu yake) na ndio maana MAPARASITE kutwa wanataka kujiattach kwake kwa kutengeneza beef, ila sauti sol ni watu wengine kabisa, ila sijajua kwa nn jamaa hawa kwao nao wanapondwa.