Angenyamaza kuliko kuamua kudanganya watu had wakagunaKumbuka mtafsiri alikuwa ktk hali ya simanzi so kupoteza concentration ni kawaida
Kabisakwa aina hii ya watafsiri bila shaka hata mikataba mingi tunaingizwa cha kike.
weeeee! Huyo ni msema hovyo tu kwenye mikataba afuate nini?kwa aina hii ya watafsiri bila shaka hata mikataba mingi tunaingizwa cha kike.
Hakudanganya ila ali over palaphraseAngenyamaza kuliko kuamua kudanganya watu had wakaguna
Aisee! Bora angenyamazaMkalimani wa lugha ya Kiiengereza ametia aibu sana siku ya leo. Hiyo ni ishara tosha kuwa sisi Watanzania Kiingereza kinatupa shida sana.
Yaani kuna muda umma uliguna kwa nguvu,dah😂Angenyamaza kuliko kuamua kudanganya watu had wakaguna
Mimi mwenyewe nimeguna tena kwa nguvuYaani kuna muda umma uliguna kwa nguvu,dah😂
😂😂 Kwamba kwa wooote waliopo, hilo lijamaa ndo namba moja wao hadi walimu wanalikubali kinomaNahisi badala ya kusukuma lawama kwa huyu aliyejitahidi ni bora kujiuliza sababu au chanzo cha tatizo hili.
Huenda huyu akawa ndiye bora.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndivyo hivyo ilivyo. Wakalimani wengi wa kiswahili hawana concentration na matokeo yake wanatuingiza chakani. Mpaka wakati mwingine kuwafanya wahusika kutia saini mikataba mibovu.[emoji120]kwa aina hii ya watafsiri bila shaka hata mikataba mingi tunaingizwa cha kike.
Wamekudanganya nini?Wakalimani na watafsiri wa viongozi baadhi ya maneno ya kingereza wanatudanganya, sipati picha kifaransa kama wanasema kweli!