VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,212
Reaction score
23,258
Wakalimani na watafsiri wa viongozi baadhi ya maneno ya kingereza wanatudanganya sana sijui kwa faida ya nani, sipati picha kifaransa kama wanasema kweli!

Tu assume jamaa alipitiwa labda hakusikia vizuri, lakini je; aliyatoa wapi Yale maneno aliyotuongopea?

IMG_20210322_195942.jpg


 
Huyo ameshazoea kuongopa toka huyo ninja akiwa hai.
Kiongozi anaweza kusema "H.E John Magufuli congratulation for being elected" mkarimani alivyo mnafiki utasikia "Hongera sana Mheshimiwa Rais Magufuli kwa ushindi wa kishindo mitano tena"

Mtzji wao sasa (wajinga ambao ni wengi) sio kwa shangwe watakazozitoa.
 
mpaka alazwe kwenye nyumba yake ya milele tutayaona mengi.......halafu na hii kolona....sio corona kwa sasa......
 
Back
Top Bottom