Video: Mikutano ya CHADEMA Mtwara.

Hii naona ya Iringa.

We mjinga kweli! hivi tokea lini Iringa kukawa na minazi? Au huja iangalia hiyo clip vizuri? mmezoea kupinga kila kitu hata ukweli. Hadi mna kwenda kaburini 2015 wakati mwenyekiti wa tume ya uchaguzi atakapo kuwa ana tangaza mshindi mtakuwa mnapinga tu..
 
Hii naona ya Iringa.

Picha inahama toka chama cha kaskazini hadi Iringa , yale ya kupe.Hee hivi vyama vya msimu kumbe vinatisha! Mlizoea vitamu vichungu hamviwezi.Mkutano Mtwara/Lindi badiliko Musoma hii M4C balaa kama goal la Cise dhidi ya Chelsea
 
Attachments

  • 562393_282439568512277_117160655040170_585427_1.jpg
    562393_282439568512277_117160655040170_585427_1.jpg
    4.9 KB · Views: 701
We mjinga kweli! hivi tokea lini Iringa kukawa na minazi? Au huja iangalia hiyo clip vizuri? mmezoea kupinga kila kitu hata ukweli. Hadi mna kwenda kaburini 2015 wakati mwenyekiti wa tume ya uchaguzi atakapo kuwa ana tangaza mshindi mtakuwa mnapinga tu..

Shikamoo kaka. Naongelea "bange", sio kitu kingine. sorry.
 
Back
Top Bottom