Video : Michael Jackson wa Afrika

Kuna Michael Jackson wa mwananyamala yeye anachezaga nyimbo za zuchu tu...ngoja siku nimfotoe anatembeaga na kispika chake cha bluetooth
Na kwenye kutembea kiroboti anafanyaje kwa wimbo wenyewe ndo sukari
 
Kuna Michael Jackson wa mwananyamala yeye anachezaga nyimbo za zuchu tu...ngoja siku nimfotoe anatembeaga na kispika chake cha bluetooth
Hahah namjua anazunguka jamaa mpaka sinza ana speaker yake 😃😃😃
 
Hahah namjua anazunguka jamaa mpaka sinza ana speaker yake 😃😃😃
Yaaah huyohuyo anapigaga black trouser na white shirts zinang'aa balaa na nywele kaziweka curl. Mitaa yake kuanzia sinza,mwenge,makumbusho,kinondoni na mwananyamala
 
Hii ndo aliambiwa hiv ndo akalinde
Brand ya dabliyusibi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom