video memory in a pc

toghocho

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
1,172
198
nki open gta3 na some of games kwenye my laptop napata error message inasema you need 12mb video memory, but kwenye disc c na d kuna more than one gb free memory, nni tatizo na nifanyeje?
 
VGA card zinatofautiana uwezo hivyo yako ni ndogo na kama ingekuwa desktop ningekushauri uweke card yenye nguvu zaidi, ila pia machine yako ina RAM kiasi gani? alafu cheki kwa graphics propertise then advance (sijui unatumia os ipi) ucheck shared memory ni kiasi gani
 
Video memory ni RAM inayotumiwa na graphics card sio memory kwenye harddrive.
Kama laptop yako haina dedicated graphics card, jaribu kuingia BIOS wakati PC inaboot, kisha tafuta sehemu ya shared video memory labda unaweza kuongeza.
 
Hiyo issue haihusiana kabisa na mambo ya BIOS ila inahusiana na color display ya machine husika hiyo mashine yako inawezekana ni 32 bit na hizo game zinahitaji colour display ya 64 bit ndio maana inakuletea hizo error game nyingi za sasa hivi zinahitaji bit za kuanzia 32 na kuendelea sio kama game za zamani za kina mario ambazo zilikuwa hadi 8bit.

Nope, PC yake haina video memory ya kutosha. Kwenye BIOS unaweza ukabadilisha RAM kiasi gani kinatumika kwa ajili ya video.
Ingekuwa 64Bit ingemwambia hivyo plus hakuna GTA3 ya 64 Bit.

So kwanza hakikisha unazo more than 12MB za video memory, ingia BIOS au ingia DirectX (Start->Run->type dxdiag->nenda sehemu ya display, angalia una memory kiasi gani)

Kama unayo basi jaribu kuapdate display drivers(website ya waliotengeneza laptop) na DirectX, pia funga program zengine.
 
Code:

nimeingia, ile sehemu ya notes wananiambia direct 3D functionality not available. you should verify that the driver is the final version from a hardware manufacturer
na the system is using the generic video driver. plz install the video driver provided by the hardware manufacture
r. ni badili window?
 
Ndo hivyo, nenda kwenye website ya aliyetengeneza PC yako (HP,Dell etc), tafuta sehemu ya kudownload drivers, tafuta display driver za model yako.
 
mi naona tatizo ni graphic card yke haisupport gta 3,au haina direct 3D functionality u nid atleast 128 of VRAM to play gta3 smoothly,and a direct 3d card...hardware prob,jaribu kubadilisha g.card...tafuta geforce itakufaa
 
nki open gta3 na some of games kwenye my laptop napata error message inasema you need 12mb video memory, but kwenye disc c na d kuna more than one gb free memory, nni tatizo na nifanyeje?
U need to update ur graphics card,thats it,the problem is solved
 
Laptop na video game haviendi babu... PC games, haswa hizi mpyampya zinafaa zaidi kuchezwa kwenye desktop na si laptop. Upgrade ya vitu kwenye laptop ni aghali kuliko ya desktop, na pahali pengine haiwezekani kabisa. Pamoja na kwamba laptops nyingi mpya zina spec kubwa tu kwenye processor na ram, lakini inapokuja swala la video memory hapa desktop ndipo zinatofautiana. Ni kawaida kukuta desktop ya zamani kidogo inaplay games better kuliko laptop mpya kutokana na kuwa na graphics card yenye performance nzuri kuliko ya laptop mpya.
 
Mbona alienware zinaplay any game u can think of na ni laptop? Laptop yyte inaplay game endapo itaendana na min. requirements za game husika...
 
Laptop nyingi zinaweza kucheza game bila matatizo siku hizo, tena Gta3 haina requirements kubwa. Labda ungetuambia model ya laptop yako ingekuwa rahisi kukushauri.

450 MHz Intel Pentium III or AMD Athlon CPU
96 MB RAM
8x CD-ROM drive
500 MB hard disk space
16 MB DirectX 8.1 compatible graphics card
DirectX 8.1 compatible sound card
Windows 98/98 SE/Me/2000/XP
 
Back
Top Bottom