VIDEO: Mbunge Bashe asema, Mipango ya Uchumi ya Serikali ni mibovu na hali mtaani mbaya hakuna pesa

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804

Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamesema uchumi wa nchi unayumba, huku mawaziri walioteuliwa na Rais Dk. John Magufuli wanaogopa kumweleza ukweli kiongozi huyo kuhusu hali ngumu ya maisha inayowakabili wananchi.

Kutokana na hali hiyo, wamesema ipo haja kwa Serikali kujitafakari na mipango yake mingi ambayo imekuwa na ugumu katika utekelezaji wake.

Akichangia hotuba ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya 2017/18 na Mwongozo wa Kuandaa Bajeti, iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango bungeni jana, Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), alisema hotuba ya waziri huyo haina jipya ila imerudia mambo yaliyopita ya mwaka 2015/16, huku akihisi nchi hii ni ya watu wa hali ya juu pekee.

Alisema kuwa Waziri Mpango alitakiwa kuichambua ripoti iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) Oktoba 20, mwaka huu ambayo inaonyesha uchumi wa nchi umezidi kuporomoka hadi kushika namba 139 duniani.

Bashe alisema kilichowasilishwa na Waziri Mpango ni tofauti na hali halisi ya maisha ya kawaida ya wananchi waliopo mitaani.

“Waziri wa Fedha usirudie uliyoyafanya 2016/17, nalisema kwa sababu angalia vitabu vyake hapo, nchi hii si ya Executive Only (si ya watu wakubwa pekee). Unakuja na kitu kilekile, eti eneo la kimkakati Kurasini, huku unataka kuua Kariakoo ili Wachina watumie ile nafasi.

“Jamani hatuwezi kwenda hivyo, boresheni Kariakoo ili mruhusu hawa waswahili walipe kodi, tuacheni kabisa dhana mbaya.

“…Sijui kwa kuwa wewe hukuomba kura na hujui hali ngumu iliyopo mitaani, vijijini fedha hakuna halafu unakuja hapa kusema tunatekeleza. Waziri wa Fedha asipochukua tunayomshauri, tuna jukumu la kuungana bila kujali itikadi zetu humu ndani bungeni,” alisema Bashe.

Alisema ni lazima waziri aangalie sheria za nchi kama zinavutia wawekezaji wote na si wa nje peke yao.

“Ninashangaa sana katika taarifa ya waziri, anasema mazingira na hali ya hewa itakuwa nzuri huku taarifa za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), zinasema kuna ukame. Leo hali ya hewa kwa nchi jirani unasema ni nzuri si kweli, kwa 2017/18 nchi zinazotuzunguka zina hali mbaya ya chakula na hata taarifa ya TMA inasema hivyo,” alisema
 
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamesema uchumi wa nchi unayumba, huku mawaziri walioteuliwa na Rais Dk. John Magufuli wanaogopa kumweleza ukweli kiongozi huyo kuhusu hali ngumu ya maisha inayowakabili wananchi.

Kutokana na hali hiyo, wamesema ipo haja kwa Serikali kujitafakari na mipango yake mingi ambayo imekuwa na ugumu katika utekelezaji wake.

Akichangia hotuba ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya 2017/18 na Mwongozo wa Kuandaa Bajeti, iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango bungeni jana, Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), alisema hotuba ya waziri huyo haina jipya ila imerudia mambo yaliyopita ya mwaka 2015/16, huku akihisi nchi hii ni ya watu wa hali ya juu pekee.

Alisema kuwa Waziri Mpango alitakiwa kuichambua ripoti iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) Oktoba 20, mwaka huu ambayo inaonyesha uchumi wa nchi umezidi kuporomoka hadi kushika namba 139 duniani.
Bashe alisema kilichowasilishwa na Waziri Mpango ni tofauti na hali halisi ya maisha ya kawaida ya wananchi waliopo mitaani.

“Waziri wa Fedha usirudie uliyoyafanya 2016/17, nalisema kwa sababu angalia vitabu vyake hapo, nchi hii si ya Executive Only (si ya watu wakubwa pekee). Unakuja na kitu kilekile, eti eneo la kimkakati Kurasini, huku unataka kuua Kariakoo ili Wachina watumie ile nafasi.
“Jamani hatuwezi kwenda hivyo, boresheni Kariakoo ili mruhusu hawa waswahili walipe kodi, tuacheni kabisa dhana mbaya.

“…Sijui kwa kuwa wewe hukuomba kura na hujui hali ngumu iliyopo mitaani, vijijini fedha hakuna halafu unakuja hapa kusema tunatekeleza. Waziri wa Fedha asipochukua tunayomshauri, tuna jukumu la kuungana bila kujali itikadi zetu humu ndani bungeni,” alisema Bashe.

Alisema ni lazima waziri aangalie sheria za nchi kama zinavutia wawekezaji wote na si wa nje peke yao.
“Ninashangaa sana katika taarifa ya waziri, anasema mazingira na hali ya hewa itakuwa nzuri huku taarifa za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), zinasema kuna ukame. Leo hali ya hewa kwa nchi jirani unasema ni nzuri si kweli, kwa 2017/18 nchi zinazotuzunguka zina hali mbaya ya chakula na hata taarifa ya TMA inasema hivyo,” alisema.

Kwa upande wake, Mbunge wa Solwa, Ahmed Salum (CCM), alisema hivi sasa kuna tatizo la mzunguko wa fedha katika jamii, huku akishangazwa na kauli ya Waziri Mpango ya uchumi kuimarika.
Alisema anashangazwa na taarifa ya kuimarika uchumi, japo bado kuna matatizo ya uchumi, ikiwamo upande wa wawekezaji wanaokuja nchini.
Mbunge huyo alisema hakuna kituo kimoja kwa ajili ya kuhakikisha wawekezaji hawasumbuliwi, lakini bado kuna tatizo Kituo cha Uwekezaji (TIC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambao hukaa na nyaraka muda mrefu bila kufanya uamuzi.
NAOMBA VIDEO YAKE AKIONGEA MANENO HAYO
 
hiyo audio tamu sana bashe ni jembe la maana
 
Bashe amenena haswaa,jamaa yupo vzr nimempenda sana.

Kweli wamebadilika aisee.
mi nilimpenda sana wakati wa kampeni yeye na yule marehemu wa chopa ni vijana pekee wa ccm ninaowapenda ....
hata akiaga kama mwenzie atabaki kuwa shujaa wangu

viva bashee sema ukweli kumsaidia raisi si wakina simba cha wene wanasema' eti mfanye fujo mkishaonekana kwenye tv ndo watakuja kuingilia mgogoro ati wanaogopa kwenda kichwakichwa watatumbuliwa'
ni watendaji gani hawa waliopo kwenye serikali hii? hii imenisahangaza sana
 
Bu
“…Sijui kwa kuwa wewe hukuomba kura na hujui hali ngumu iliyopo mitaani, vijijini fedha hakuna halafu unakuja hapa kusema tunatekeleza. Waziri wa Fedha asipochukua tunayomshauri, tuna jukumu la kuungana bila kujali itikadi zetu humu ndani bungeni,” alisema Bashe.
Wabunge wa CCM wamekumbwa na nini??? Lizaboni endelea na pumba zako
 
Hazaliwi mtoto bila uchungu kuwa mkali sana, kama watu wote wakilalama ukali wa maisha baada ya miaka 10 maendeleo yataanza kupatikana. Tulikuwa tumeshapotea njia kupiga hela na kukaa kwenye stuli tunasuburi mabinti za watu. Jamaa akaze uzi mpaka mabinti wasiende saloon ndio kazi itafanyika.
 
kiri Unguluma, post: 18317365, member: 49101"]Hazaliwi mtoto bila uchungu kuwa mkali sana, kama watu wote wakilalama ukali wa maisha baada ya miaka 10 maendeleo yataanza kupatikana. Tulikuwa tumeshapotea njia kupiga hela na kukaa kwenye stuli tunasuburi mabinti za watu. Jamaa akaze uzi mpaka mabinti wasiende saloon ndio kazi
itafanyika.[/QUOTE]

Ulizoea we we kupiga labda wengine biashara yetu halali bwana
Ukweli serikali imevurunda haisemi ukweli

Ulizoae
 
Maisha ni magumu sana...ila kuna Vipaka humu vinapewa vijisent vidogo vitakuja huku na kupinga.

Wacha vipinge maana ni vipaka tu! Mtu na hususani kiongozi na mtumishi mwandamizi wa umma anapofikia
hatua ya kusema hadharani jambo moja kisha akasema kitu tofauti faragha anaisaliti nafsi yake, hatufai, vipaka vitakavyopinga ukweli huu ambao hata wabunge wa chama na serikali sikivu sasa wamefungua macho baada ya mianya yao ya ufisadi kuzibwa, basi hao ni mapaka shume ya ukweli!
 
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamesema uchumi wa nchi unayumba, huku mawaziri walioteuliwa na Rais Dk. John Magufuli wanaogopa kumweleza ukweli kiongozi huyo kuhusu hali ngumu ya maisha inayowakabili wananchi.

Kutokana na hali hiyo, wamesema ipo haja kwa Serikali kujitafakari na mipango yake mingi ambayo imekuwa na ugumu katika utekelezaji wake.

Akichangia hotuba ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya 2017/18 na Mwongozo wa Kuandaa Bajeti, iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango bungeni jana, Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), alisema hotuba ya waziri huyo haina jipya ila imerudia mambo yaliyopita ya mwaka 2015/16, huku akihisi nchi hii ni ya watu wa hali ya juu pekee.

Alisema kuwa Waziri Mpango alitakiwa kuichambua ripoti iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) Oktoba 20, mwaka huu ambayo inaonyesha uchumi wa nchi umezidi kuporomoka hadi kushika namba 139 duniani.
Bashe alisema kilichowasilishwa na Waziri Mpango ni tofauti na hali halisi ya maisha ya kawaida ya wananchi waliopo mitaani.

“Waziri wa Fedha usirudie uliyoyafanya 2016/17, nalisema kwa sababu angalia vitabu vyake hapo, nchi hii si ya Executive Only (si ya watu wakubwa pekee). Unakuja na kitu kilekile, eti eneo la kimkakati Kurasini, huku unataka kuua Kariakoo ili Wachina watumie ile nafasi.
“Jamani hatuwezi kwenda hivyo, boresheni Kariakoo ili mruhusu hawa waswahili walipe kodi, tuacheni kabisa dhana mbaya.

“…Sijui kwa kuwa wewe hukuomba kura na hujui hali ngumu iliyopo mitaani, vijijini fedha hakuna halafu unakuja hapa kusema tunatekeleza. Waziri wa Fedha asipochukua tunayomshauri, tuna jukumu la kuungana bila kujali itikadi zetu humu ndani bungeni,” alisema Bashe.

Alisema ni lazima waziri aangalie sheria za nchi kama zinavutia wawekezaji wote na si wa nje peke yao.
“Ninashangaa sana katika taarifa ya waziri, anasema mazingira na hali ya hewa itakuwa nzuri huku taarifa za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), zinasema kuna ukame. Leo hali ya hewa kwa nchi jirani unasema ni nzuri si kweli, kwa 2017/18 nchi zinazotuzunguka zina hali mbaya ya chakula na hata taarifa ya TMA inasema hivyo,” alisema.

Kwa upande wake, Mbunge wa Solwa, Ahmed Salum (CCM), alisema hivi sasa kuna tatizo la mzunguko wa fedha katika jamii, huku akishangazwa na kauli ya Waziri Mpango ya uchumi kuimarika.
Alisema anashangazwa na taarifa ya kuimarika uchumi, japo bado kuna matatizo ya uchumi, ikiwamo upande wa wawekezaji wanaokuja nchini.
Mbunge huyo alisema hakuna kituo kimoja kwa ajili ya kuhakikisha wawekezaji hawasumbuliwi, lakini bado kuna tatizo Kituo cha Uwekezaji (TIC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambao hukaa na nyaraka muda mrefu bila kufanya uamuzi.
Uchumi ni nini??Ukishindwa ku define basi huna uwezo hata wa kuongelea uchumi...ni dhana pana lakini inaeleweka siyo na kila mtu....Tatizo linakuja pale mtu anapokuwa kwenye position kubwa anaongea tu na mamilioni ya watu na kuwapotosha ....DEFINITION;ECONOMICS IS USING LIMITED RESOURCES THAT WE HAVE TO SATISFY UNLIMITED WANTS...Unapotumia resources na uka invest somewhere you will get result at a specific TIME not immediately!! mfano Mwaka jana kampuni ninayofanya kazi ilitumia 6milUSD kujenga distribution centre inayokadiriwa kuwa na life span ya zaidi ya miaka 100...hii inaitwa investment for sustainable development...kwa maendeleo ya baadae tena kwa muda mrefu...Ingawa mwaka jana Vyombo vya habari viliandika kwamba kampuni hiyo Is going down....kwakuwa they didnt have inside information....Therefore kitu cha kujiuliza huu mwaka serikali inachofanya ina set up the platform for sustainable development for us plus generations to come??Is there light at the end of tunnel??badala ya kulalamika ...yes maisha magumu for this year....Nitashukuru sana kama nimeeleweka japo kidogo tu....
 
Back
Top Bottom