Dr.Mo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 3,809
- 1,656
Poa mamy..kapige kazi aise..mpe hi mwanaoKweli kabisa ngoja nikabebe mabox yangu mie as long as mwanangu anasoma shule ya maana aka sina tabu hao wanaotunanga acha waendelee kuuza kahawa vibarazani
Poa mamy..kapige kazi aise..mpe hi mwanaoKweli kabisa ngoja nikabebe mabox yangu mie as long as mwanangu anasoma shule ya maana aka sina tabu hao wanaotunanga acha waendelee kuuza kahawa vibarazani
Ukifanya kazi huku...hata iwe kazi gani...unalipwa na unaishi maisha yako vzr...ndo tofauti na huko unaweza kuwa hata maneja branch lkn madeni kibao na utapeli utapeli tu...ndo tofauti kubwa sana hiyo..na huku km akili yako ni nzuri unakua na displin na maisha na hela unayoipata
Exposure kwako ni nini mkuu?Unajua nilipo na shughuli ninayoifanya?
sasa na exposure uliyonayo kweli unauliza swali kama lile??u should know.
Lazima nihoji mkuu maana nimewaona sehemu mbalimbali watanzania nje ya nchi wenye elimu zao wakifanyakazi nzuri sana (white colar jobs) wakilipwa thousands of dollars tena wengine wenye level za masters tu, sasa nashangaa kuwaona wengine na elimu zao wanagonga box as if walikimbia bongo kwasababu ya woga wa kukosa ajira kutokana na elimu yao kuwa ya chini,
Afadhali kubeba box kuliko kuwa mla rushwa na tapeli. Tatizo wabongo tunadharau sana huwa hatukumbuki kuwa kazi ni kazi na tunapaswa kuziheshimu. Ndio maana hata wadada wa kazi za ndani hapa bongo wanadharaulika mno ukiangalia wanafanya kazi vizuri na kama kazi hii ingeheshimiwa basi wengi wangefanya hata wasomi. Natamani baadae kuwe na vyuo vya kufundisha watu kazi za ndani na kuwe na mishahara yenye kueleweka.Ni kweli shansarie..kitu nlichogundu na kinacho nifurahisha ni kwamba kwanza huku unajifunza kupata kipato kwa kufanya kazi...hakuna rushwa hakuna nini..hakuna kujuana..na ukifanya kazi unapata kipato unakula, unapata hela ya kulipia morgage..unaiendesha familia vzr..unapanga mipango yako vzr...stress ni kazi tu...kuna notion ambazo wabongo wanakua nazo si za kweli kabisa...ila kweli ukija na usistadu na ubrazamen wa kibongo bongo maana sisi wabongo showoff nyingi kweli maisha utayaona magumu
....uwe fasta basi wewe...meneja wa bank branch....Meneja branch ndo kazi gani?
Ndo shida yetu wabongo na mentaly inatusumbua sana...ndo maana unakuta mtu hataki kufanya kazi...unaenda hata hospitali unakuta dr..nurse wanakimbia kazi...mtu ukijituma wanaona kama unajipendekeza....wakati kwa kweli kwenye maisha mtu lazima upigane na uwe responsible kwa kila kitu hata kama ni kidogo....wakati mwingine ku-hustle kunakupa amani moyoni kwamba unatafuta kwa jasho ...hata kama malipo ni madogo.....hii wabongo imetuingia kwenye maind zetuAfadhali kubeba box kuliko kuwa mla rushwa na tapeli. Tatizo wabongo tunadharau sana huwa hatukumbuki kuwa kazi ni kazi na tunapaswa kuziheshimu. Ndio maana hata wadada wa kazi za ndani hapa bongo wanadharaulika mno ukiangalia wanafanya kazi vizuri na kama kazi hii ingeheshimiwa basi wengi wangefanya hata wasomi. Natamani baadae kuwe na vyuo vya kufundisha watu kazi za ndani na kuwe na mishahara yenye kueleweka.
Duh! Hivi hawa jamaa wanakuwaga na elimu gani mpaka wakafanye kazi za wasiosoma?
Lazima nihoji mkuu maana nimewaona sehemu mbalimbali watanzania nje ya nchi wenye elimu zao wakifanyakazi nzuri sana (white colar jobs) wakilipwa thousands of dollars tena wengine wenye level za masters tu, sasa nashangaa kuwaona wengine na elimu zao wanagonga box as if walikimbia bongo kwasababu ya woga wa kukosa ajira kutokana na elimu yao kuwa ya chini,
Huko kazi yeyote inaheshimiwa sana, na mshahara anaoupata huwezi ukalinganisha na pesa za madafu. Huoni jamaa kwenye video anasema kuwa watu wa nyumbani wakiona western union pesa zinakuja ni kazi hizi? Watu wananunua nyumba ughaibuni na kujenga nyumbani kwa kazi hizo.
Duh! Hivi hawa jamaa wanakuwaga na elimu gani mpaka wakafanye kazi za wasiosoma?
Huyo anaefanya kazi ya wasio soma anaingiza kati ya dola $12 mpaka $20 kwa saa!
Na istoshe kaisha jenga huko kwao Tz!
We mwenye Phd bongo mshahara laki tatu! Na majungu kibaao!
Usipowaibia wananchi na kula rushwa huendi choo vizuri! Na kwa kuishi na shida za kipato kidogo mnamalizia hasira zenu kwa wake AU waume za watu!
Kashfa mnapenda! Hela hamna!
Wabongo kweli nuksi!
Hujaelewa logic ya swali langu kiongozi wangu! Sijahoji kuhusu kiasi cha fedha wanachopata bali aina ya kazi wanazofnya. Huko huko ughaibuni kuna watanzania wanaofanya kazi za maofisini tena wakiwa na elimu ya Masters tu na wanaingiza hela mara tano ya huyo unayemsemea. Sasa nahoji je kwa elimu ipi ndugu zetu wanakubali kufanyakazi ndogo ndogo? Au ni part time labda ni wanafunzi huko?
Kununua nyumba ughaibuni kwa kubeba box?!!! Si utachukua miaka mia!! Tusiwape watu picha kuwa ughaibuni maisha ni mteremko kiasi hicho,kwamba ukibeba box basi utajenga na kununua nyumba.The only good thing ya ughaibuni ni kwamba kila kazi ina heshimiwa na sababu huduma za afya ni bure na bei za vyakula sio kubwa kwa mshahara wa box unatosha.Ishu kubwa ni bills,kodi ya nyumba,umeme na gesi,hapo ndio shughuli,usipofanya extra hours hilo box lako halikusaidii.Maisha ni magumu wandugu ughaibuni,hiyo mishahara mikubwa isiyolinganishwa na madafu ni ipi? Unaiona mikubwa sababu unalipwa per hour ila hela zote zinarudi serekalini through tax,transport,gas na umeme mwisho wa cku unabakiwa na hela kula tu na ujiko usio na msingi kuwa upo ughaibuni.Pigeni box muinvest bongo,huko hamna ishu.