Video: Lugha gongana ya mchina

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,505
Reaction score
2,269
Hivi inakuaje hawa wachina wanakuja huku kwetu huku hawajui hata lugha ya kiingereza wala kiswahili ambazo zinakutanisha watu wengi?


Your browser is not able to display this video.
 
Ukitaka ujue wanaongea tena hadi kichaga wewe mpe lift au akukodi umpeleke sehemu afu upitie njia tofauti na aliyoweka location haki utasikia anakwambia "friend nengai nji nde si ya kwiyoo or you nyong min hau." hapo anasema ati.. Rafiki yangu hiyo njia kwiyo au unataka kwenda kuninyonga huko.
 
Hua wanaamini lugha Yao pia inajulikana na watu wengi ulimwenguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…