PreGE2025 Video: Lembruce Mchome aibukia mkutano wa CHAUMMA Ubungo Plaza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ni miongoni mwa walionaswa na kamera za Jambo TV japa Ubungo Plaza kwenye Grand Reception ya Chama cha Ukombozi wa Umma

View attachment 3340830
Msajili wa vyama vya siasa anamlipia nyumba......Ha ha ha. Mtaumbuka sana mwaka huu.
 
Hana ulinzi?
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ni miongoni mwa walionaswa na kamera za Jambo TV japa Ubungo Plaza kwenye Grand Reception ya Chama cha Ukombozi wa Umma

View attachment 3340830
Mimi ndio maana naona nipaginie akhera yangu badala kupigania wanasiasa ili washibe na familia zao
 
Watanzania ni wasaliti wasio wakawaida. Na hii ni mifano halisi namna tulivyo. Hii ndio mambo viongozi wa serikali yetu wanafanya na mataifa na wawekezaji wa nje na bado wanatufunza ndani namna ya kuuzana. Ikitokea vita nchi hii hata wanajeshi watatuuza kwa vipande 10. Mark my word.
 
MARA PAAAAAAAAAAAAAAAAAAAP MBOWE HUYU HAPA WATU MWAMBAAAAAAAAAMWAMBAAAAAAAAAMWAMBAAAAAAAAA CHADEMA WANAUMIA KWELI AISEEE
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ni miongoni mwa walionaswa na kamera za Jambo TV japa Ubungo Plaza kwenye Grand Reception ya Chama cha Ukombozi wa Umma

View attachment 3340830
Wananchi wanaelewa na itakuwa aibu kubwa sana kwao pindi wakianza ziarq zao kukutana na wananchi kuomba kura.
 
MARA PAAAAAAAAAAAAAAAAAAAP MBOWE HUYU HAPA WATU MWAMBAAAAAAAAAMWAMBAAAAAAAAAMWAMBAAAAAAAAA CHADEMA WANAUMIA KWELI AISEEE
sasa wewe ume na LISSU, utaumiaje kumkosa MWAMBA?
 
Chombo ya msajili hiyo anajimegea tu
Mutungi ni best yangu akiwa Dom enzi hizo, akiishi Kisasa nyumba 300, hii tabia hakuwa nayo ya ushoga, hili namtetea.

Tumekula sana vitoto vya Dom Sec, Kigong'ota Sec, Jamhuri, Central na Viwandani miaka hiyo.
 
IMG-20250521-WA0038.jpg
 
Back
Top Bottom