Video: Kenyans scramble to buy cheap unga in a supermarket.

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,363
2,000
Poleni sana, nguvu mliyoweka kwenye kilimo cha maua wekeni pia kwenye mazao ya chakula.
hapo ndio shida inajitokeza...serikali imeipa kipaumbele kilimo cha maua na kuipa bega baridi kilimo cha mahindi...sielewi kwanini nchi kama Ethiopia ina chakula ila tukisema ni kiangazi, ili affect ukanda huu wote...itabidi tukuze kilimo...
 
Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,104
2,000
dah! this is one of the failures of the jubilee administration...food security...hivi watanzania si mtusaidie na mahindi jameni...jamaa hapa haswa wale wa magharibi ya kenya wanahangaika kwel kwel...:D:D:D

Kwanini chakula lazima kiwe tu ugali, si tujifunze kula vile vyakula vingine pia?
Kama life imekuwa hard bana, lazma tuadapt.

Viazi na nduma zimejaa hivi, rice na wheat, mtama, matoke na mhogo......tujaribuni kidiversify our diet tadadhali.
But catch me dead eating ugali wa wimbi/ mtama (dont know which one is which).

Watu wa western bana......tubadilikeni!!!!
 
kilam

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,023
2,000
Uhuru Kenyatta asipochunga, hii ndio itampleka nyumbani come August ..nimeskia watu wakilalamika kuwa pakiti za unga zinapatikana kule Kikuyuni pekee yake...

Kama kweli basi hiyo ni tiketi ya kumrudisha Uhuru Kiambu akalime.
 
Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,363
2,000
Kwanini chakula lazima kiwe tu ugali, si tujifunze kula vile vyakula vingine pia?
Kama life imekuwa hard bana, lazma tuadapt.

Viazi na nduma zimejaa hivi, rice na wheat, mtama, matoke na mhogo......tujaribuni kidiversify our diet tadadhali.
But catch me dead eating ugali wa wimbi/ mtama (dont know which one is which).

Watu wa western bana......tubadilikeni!!!!
hii ni important sana..ume raise swala nzuri sana bro...wakenya wanalalia ugali pekee yake...ukienda nchi nyingi za ng'ambo huwezi ukapata staple foods...watu wanakula chakla tofaut tofaut...si lazma tuwe tunakula ugali kila siku...tujaribuni pia mihogo na michele...hata waswahili naskia wanakula mihogo na vyakula mbali mbali...mimi hapa nashangazwa na video hii kwasababu sina haraka na ugali ila natoka upande huo huo wa western...
 
Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,104
2,000
hii ni important sana..ume raise swala nzuri sana bro...wakenya wanalalia ugali pekee yake...ukienda nchi nyingi za ng'ambo huwezi ukapata staple foods...watu wanakula chakla tofaut tofaut...si lazma tuwe tunakula ugali kila siku...tujaribuni pia mihogo na michele...hata waswahili naskia wanakula mihogo na vyakula mbali mbali...mimi hapa nashangazwa na video hii kwasababu sina haraka na ugali ila natoka upande huo huo wa western...

I was listeninf to this lady on BBC Focus on Africa, aliukizwa hiyo swali.....mchele na mgano yako kwa wingi tu, na bei ni ya nafuu kuliko ya unga mahindi kwa hivi sasa, mbona wasiyale hayo tu?

Her answer:

Noooo! We cannot just eat rice and chapatis. Nooo! Those are very light foods, they cannot fill our stomachs properly!
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
13,647
2,000
Hakuna kitu kizuri kama chakula, msibaki kulalamika fanyeni mabadiliko sasa, tumieni ardhi vizuri iyo
 
Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,363
2,000
I was listeninf to this lady on BBC Focus on Africa, aliukizwa hiyo swali.....mchele na mgano yako kwa wingi tu, na bei ni ya nafuu kuliko ya unga mahindi kwa hivi sasa, mbona wasiyale hayo tu?

Her answer:

Noooo! We cannot just eat rice and chapatis. Nooo! Those are very light foods, they cannot fill our stomachs properly!
Lol! the lady should have been told to eat twice as much chapatis and mcheles.... then she will be okay...:D:D:D
 
Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,363
2,000
Hii ndiyo fursa ya UTANGAMANO. Siyo lazima kila mtu alime mahindi ndani ya EAC.
kweli kabisa..nchi za kiarabu huwa hata hazilimi sana ila ikija kwa swala la food secirity wako sawa usalmini...but kenya still has to step up its game..ikiwezekana tuwe na mamilioni ya ekari ya mashamba yanayonyunyuiziwa maji...
 
MPUNGA

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
838
500
Mchele hiyo chakula ya Mombasa na siku za sikukuu.

Chapati matumbo hiyo kitu ya breakfast.

Kitu Sima na nyama choma au mchemsho nyama tumbukiza!
 
Luggy

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
2,996
2,000
dah! this is one of the failures of the jubilee administration...food security...hivi watanzania si mtusaidie na mahindi jameni...jamaa hapa haswa wale wa magharibi ya kenya wanahangaika kwel kwel...:D:D:D
hiyo ni Uhuru anapigwa vita tu...mkidanganyika kuchagua kwa mihemko mtajuta,chagua Uhuru amalizzie SGR
 
Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,363
2,000
hiyo ni Uhuru anapigwa vita tu...mkidanganyika kuchagua kwa mihemko mtajuta,chagua Uhuru amalizzie SGR
kura yangu ni ya Uhuru Kenyatta...hii ni kwa sababu wale wengine hawana sera zozote zakuwapa wananchi...kazi yao ni power-hungriness tu...odinga hawezi akatufikisha popote...
 
MPUNGA

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
838
500
Hizi ni fursa ambazo tukizitumia vizuri tutajenga heshima sana kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na Maziwa Makuu. Kwa hatua ya kilimo cha Kenya ilipofikia kujikita kwenye mazao ya biashara itakuwa vigumu mno kujitoleza na mazao ya chakula hasa ukizingatia wana eneo dogo la kilimo. Na uzuri ni kuwa appetite yao ya "UNGA" ipo juu.

Uganda angalau wao wanaponea kwenye unga wa ngano wa Azam. Maana jamaa wakikosa Matoke au Mizizi ya vyakula vya wanga wanageukia Chapati Rolex. Lakini siyo kwa watu ya PANDE ILE!
 
Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,104
2,000
Lol! the lady should have been told to eat twice as much chapatis and mcheles.... then she will be okay...:D:D:D
I dont know if it is possible, but Kenyans need to change their attitude regarding ugali wa mahindi.
Most Kenyans believe that maize ugali is the most energetic food, that would keep one satiated for long. But that is a myth!
Other starchy foods are just as good.

Some of my relatives at home would not even contemplate the idea of going to bed at night without eating ugali at least once a day. They say it is tantamount eating nothing at all, and I regard that as insanity.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom