Video: Kenyans scramble to buy cheap unga in a supermarket.

I dont know if it is possible, but Kenyans need to change their attitude regarding ugali wa mahindi.
Most Kenyans believe that maize ugali is the most energetic food, that would keep one satiated for long. But that is a myth!
Other starchy foods are just as good.

Some of my relatives at home would not even contemplate the idea of going to bed at night without eating ugali at least once a day. They say it is tantamount eating nothing at all, and I regard that as insanity.
try telling this to a Bukhusu man in Kakamega or Shinyalu...:D:D:D:D:Dbila shaka its insanity...Ugali is not even as nutritious as they seem to believe...anyway, I think they just see it as a food that will quench their hunger for the longest time possible...being a relatively low-earning country, we dont have the pleasure of eating all the time so they think mchele itaisha kwa tumbo in the middle of the night...also, many of these ppl have large families...cooking mchele in a family of 8 kids would be a travesty! downright absurd! atleast thats what they seem to think.
 
kura yangu ni ya Uhuru Kenyatta...hii ni kwa sababu wale wengine hawana sera zozote zakuwapa wananchi...kazi yao ni power-hungriness tu...odinga hawezi akatufikisha popote...
I agree with you , He may not be as clean as expected, but Uhuru is visionary and patriotic to his country,msidanyike mazee,chagua huyu jamaa
 
try telling this to a Bukhusu man in Kakamega or Shinyalu...:D:D:D:D:Dbila shaka its insanity...Ugali is not even as nutritious as they seem to believe...anyway, I think they just see it as a food that will quench their hunger for the longest time possible...being a relatively low-earning country, we dont have the pleasure of eating all the time so they think mchele itaisha kwa tumbo in the middle of the night...also, many of these ppl have large families...cooking mchele in a family of 8 kids would be a travesty! downright absurd! atleast thats what they seem to think.

Acha uongo. Nyie ni Taifa la njaa. Hamna ngano wala mchele wa kutosha. Nyie ni wanjaa-njaa Jazzband
 
Aiseee!!!! Nairobi unga n shida ukienda supermarket

Hakuna ktu unapata ukiutaka
Urauke 6:00 asubuh ndo utapata tena ugaiwa na
Customers care kweny

Mashelf hakuna na
Na huwez pewa zaid ya
Mfuko mmoja wa 2kg

R.I.p uhuru nenda tu murang'a ukasambaze mazwa au kiambu ukaliwe
 
kura yangu ni ya Uhuru Kenyatta...hii ni kwa sababu wale wengine hawana sera zozote zakuwapa wananchi...kazi yao ni power-hungriness tu...odinga hawezi akatufikisha popote...
Kikuyu n kikuyu tu bure sana

Uhuru n nn amewafanyia wananchi
Cha maana zaid ya kuuwa tu
Taifa kwa njaaaa
 
I dont know if it is possible, but Kenyans need to change their attitude regarding ugali wa mahindi.
Most Kenyans believe that maize ugali is the most energetic food, that would keep one satiated for long. But that is a myth!
Other starchy foods are just as good.

Some of my relatives at home would not even contemplate the idea of going to bed at night without eating ugali at least once a day. They say it is tantamount eating nothing at all, and I regard that as insanity.
Thats why many Kenyans are fat, and out of shape, Ugali huwa na a lot of calories. But people can eat other things na walale
 
Uhuru Kenyatta asipochunga, hii ndio itampleka nyumbani come August ..nimeskia watu wakilalamika kuwa pakiti za unga zinapatikana kule Kikuyuni pekee yake...
Hahahahaa nyumbani kwanza mkuu. Lakini hao jubilee wanakosea sana hiki si kipindi cha wakenya kupata shida ya unga hasa ukifikiria ni chakula kikuu kwa wananchi. Wasipoangalia watapigwa chini NASA watatumia hii weakness kushinda.
 
dah! this is one of the failures of the jubilee administration...food security...hivi watanzania si mtusaidie na mahindi jameni...jamaa hapa haswa wale wa magharibi ya kenya wanahangaika kwel kwel...:D:D:D

I can only donate 10 bags, siwezi kuuzia Kenyans ni ndugu zangu.
 
Kwanini chakula lazima kiwe tu ugali, si tujifunze kula vile vyakula vingine pia?
Kama life imekuwa hard bana, lazma tuadapt.

Viazi na nduma zimejaa hivi, rice na wheat, mtama, matoke na mhogo......tujaribuni kidiversify our diet tadadhali.
But catch me dead eating ugali wa wimbi/ mtama (dont know which one is which).

Watu wa western bana......tubadilikeni!!!!

It's now about Watu wa Western. SMH
 
Mzungu aliwaletea Ugali ili muwe Wajinga, Ugali mnaokula huo mweupe hauna virutubisho vyovyote vile, kwa kifupi mnakula pumba tu, mpaka a Muzungu aje tena kuwaambia mle vyakula vingine!
 
Hahahahaa nyumbani kwanza mkuu. Lakini hao jubilee wanakosea sana hiki si kipindi cha wakenya kupata shida ya unga hasa ukifikiria ni chakula kikuu kwa wananchi. Wasipoangalia watapigwa chini NASA watatumia hii weakness kushinda.
Waafrika bhana, yaani utaacha kumchagua MTU kisa huna ugali wa kula! Au utamchagua MTU kisa kakupa unga wa ugali !!!kweliii????
Yesu rudi uokoe hii ngozi nyeusi ..
hii ni important sana..ume raise swala nzuri sana bro...wakenya wanalalia ugali pekee yake...ukienda nchi nyingi za ng'ambo huwezi ukapata staple foods...watu wanakula chakla tofaut tofaut...si lazma tuwe tunakula ugali kila siku...tujaribuni pia mihogo na michele...hata waswahili naskia wanakula mihogo na vyakula mbali mbali...mimi hapa nashangazwa na video hii kwasababu sina haraka na ugali ila natoka upande huo huo wa western...

Back
Top Bottom