VIDEO: Josephine Mushumbusi akihutubia Singida Mjini

ZeMarcopolo

Platinum Member
Joined
May 11, 2008
Posts
14,279
Reaction score
7,681
Hii ni mojawapo ya video za harakati za Josephine Mushumbusi kuusuka mtandao wa wagombea ubunge wa Chadema wa uchaguzi mkuu wa 2015.

Haijafahamika nafasi ya Josephine katika chama, lakini imeelezwa kuwa amekuwa akipewa heshima zote kama kiongozi wa kitaifa katika wilaya anazotembelea, huku akitumia gari la chama lenye bendera na wasaidizi.

Last edited by a moderator:
Katika hotuba nzima anawananga wana singida kwa kumchagua Dewji, nadhani hapa ndiko chadema wanapokosea, yeye alitakiwa awambie wana singida mjini kama watachagua chadema kuna jambo gani la maana zaid itawafanyie kuliko Billionea Dewji. au awatolee mfano wa jimbo linaloongozwa na Tundu Lisu wamefanya kadha wa kadha sio kuwalazimisha na kuichagua CDM wawaongezee umaskini.
 
Wanakoelekea CDM ni pagumu sana ukizingatia CCM wamejirekebisha sana kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba wako makini kuliko CDM. kwa kweli kama CCM wataendelea kuwa wasikivu na wachapakazi hivi sijui CDM watatumia turufu gani 2015.

JUST IMAGINE MAGUFULI AU MWAKYEMBE NDIO MGOMBEA WA CCM 2015 unafikiri watu wengi watampigia nani?
 
Kama michele obama vile good sio mwalimu asiyejua na ambaye hajapanda jukwaani maishani ndio awe mwendesha kampeni za rais na familia
 
Mushumbusi amemvuruga babu, ameivuruga kawe, ameivuruga kinondoni amehamia mikoani.yetu macho
 
Katika hotuba nzima anawananga wana singida kwa kumchagua Dewji, nadhani hapa ndiko chadema wanapokosea, yeye alitakiwa awambie wana singida mjini kama watachagua chadema kuna jambo gani la maana zaid itawafanyie kuliko Billionea Dewji. au awatolee mfano wa jimbo linaloongozwa na Tundu Lisu wamefanya kadha wa kadha sio kuwalazimisha na kuichagua CDM wawaongezee umaskini.

Hichi kikao lengo lake ni kuonyesha tu kuwa yuko powerful kwenye chama, lakini kinachomzungusha mikoani ni kusuka mtandao ili kudhibiti watu fulani ndani ya chama na kusafisha njia kwa watu fulani.
Kuna viongozi waliohoji kuhusu jinsi Josephine anavyotumia rasilimali za chama kwa maslahi ya huu mtandao, walichoambulia viongozi hao ni adhabu kali ikiwemo kufukuzwa uanachama...
 
Huyo aliyeleta uzi ni kati ya wale wenye ID zaidi ya mia wanalindwa na ma mods to the maximum
Tuko tunaongelea swala la gesi hapa na mwigulu kushuhudiwa na mapolisi kuwa alialika kikundi cha mauaji mtu anatuletea mambo ya chadema kwani jamvi hili ni la chadema duh mnatubore to earth
 
Si ndio siasa au siasa ni pale tuu anakuwa sio Josephine mukiambiwa Slaa ni raisi munakataa ,sasa kama sio Raisi iweje Josephine asishiriki siasa kama anataka si alikutana na Slaa bungeni
 
Hichi kikao lengo lake ni kuonyesha tu kuwa yuko powerful kwenye chama, lakini kinachomzungusha mikoani ni kusuka mtandao ili kudhibiti watu fulani ndani ya chama na kusafisha njia kwa watu fulani.
Kuna viongozi waliohoji kuhusu jinsi Josephine anavyotumia rasilimali za chama kwa maslahi ya huu mtandao, walichoambulia viongozi hao ni adhabu kali ikiwemo kufukuzwa uanachama...
Kichwa cha masalia tunakujua sanaaana hufiki mbali hata ukienda kuzikiri kwenu ukiweza kakae katikati ya ziwa Tanganyika tuone kama utabomoa hilo chama lenu masikini akipata hukalia mbwata ulinyanyuliwa sasa unawika mchana jogoo huwika usiku
 
Huyo aliyeleta uzi ni kati ya wale wenye ID zaidi ya mia wanalindwa na ma mods to the maximum
Tuko tunaongelea swala la gesi hapa na mwigulu kushuhudiwa na mapolisi kuwa alialika kikundi cha mauaji mtu anatuletea mambo ya chadema kwani jamvi hili ni la chadema duh mnatubore to earth

JF haiwezi kujadili thread moja tu ya gesi. Wewe endelea na gesi, sisi tunamjadili mwanamama anayefuja rasilimali za chadema kwa kupitia mgongo wa boyfriend/manfriend wake.
 
mbona mushumbuzi hana shida kabisa?? kama vp unayelalamika nenda na ww ukapige debe
 
Hichi kikao lengo lake ni kuonyesha tu kuwa yuko powerful kwenye chama, lakini kinachomzungusha mikoani ni kusuka mtandao ili kudhibiti watu fulani ndani ya chama na kusafisha njia kwa watu fulani.
Kuna viongozi waliohoji kuhusu jinsi Josephine anavyotumia rasilimali za chama kwa maslahi ya huu mtandao, walichoambulia viongozi hao ni adhabu kali ikiwemo kufukuzwa uanachama...
Unavyosuka wewe mtandao unadhani wote
 
wa kiume ukoje?

Ukiona Molemo anajibu kwa kifupi hivyo ujue hana hoja. Actually na yeye ni miongoni mwa waathirika wa chama kuingiliwa na Mushumbusi ila ameamua tu "kufunika kombe mwanaharamu apite".
 
Last edited by a moderator:
JF haiwezi kujadili thread moja tu ya gesi. Wewe endelea na gesi, sisi tunamjadili mwanamama anayefuja rasilimali za chadema kwa kupitia mgongo wa boyfriend/manfriend wake.

Unaumia huko kwenye chama lenu huna platform inaelekea umebakizwa kaa bua la mahindi nini kitu gani kinatokea mpaka unakuja kuomba msaada JF jiulize kwa nini umekuwa mabaki labda JF hakuna kikao cha chama chenu hapa ndio maana tunasema majungu JOsephina ni mtanzania anaweza kuwa mwanachadema au Slaa ni raisi
 
Back
Top Bottom