VIDEO - Jibaba la Miaka 31 Linalovaa Nepi za Watoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO - Jibaba la Miaka 31 Linalovaa Nepi za Watoto

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 24, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  <tbody>[TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD][​IMG]
  Stanley Thornton, Jibaba la Miaka 31 likiwa kwenye meza ya watoto akilishwa chakula[/TD]
  [TD]
  Duniani kuna mambo endelea kutembelea Nifahamishe.com ujue mengi, mwanaume mmoja wa nchini Marekani mwenye umri wa miaka 31 kwa miaka 18 iliyopita amekuwa akiishi kama mtoto mchanga akivaa nepi, kunyonya vidole na kucheza michezo yote ya watoto wa miaka miwili.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Akiwa na umri wa miaka 31, Stanley Thornton ana umbile kubwa sana akiwa na uzito wa kilo 133 na urefu wa mita 1.67.

  Pamoja na umbile lake kubwa, Stanley amekuwa akiishi kama mtoto wa miaka miwili kwa miaka zaidi ya 18 iliyopita.

  Stanley amekuwa akivaa nepi za watoto zilizoshoneshwa maalumu kwaajili yake, amekuwa akinyonya vidole na akivaa nguo za watoto na pia akilala kwenye kitanda kama cha watoto akibembelezwa na nyimbo za watoto huku akiwa amezungukwa na madoli kibao.

  Mbali ya hayo, Stanley analishwa kama mtoto ambapo amekuwa akiwaajiri wanawake kuigiza kama mama yake wakimlisha chakula kwa kijiko.

  Stanley hafanyi kazi na amekuwa akiishi kwa kutegemea pesa za kujikimu toka serikalini.

  Stanley anasema kuwa anajihisi salama zaidi na anafurahia maisha yake hayo ya kufanya kila kitu kama mtoto wa miaka miwili.

  Angalia VIDEO

  VIDEO - Jibaba la Miaka 31 Linalovaa Nepi za Watoto[/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  anaupaja huo duu pole zake au ndio wale wa sinza maalum nini..
   
 3. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Retarded!
   
Loading...