VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  <tbody>[TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD][​IMG]
  Shabiki wa Yanga akitoa dukuduku lake[/TD]
  [TD]
  Ushabiki wa soka Tanzania umezidi kukua katika miaka ya karibuni lakini katika washabiki wote wa soka la Bongo hakuna shabiki mwenye ushabiki uliopitiliza kama jamaa huyu mshabiki wa Yanga ambaye hakuridhika na matokeo na alimwaga chozi baada ya Yanga kutoka sare ya 1-1 na Simba.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Shabiki huyo wa Yanga aliangua machozi akishusha lawama nzito kwa refa wa mechi ya Simba na Yanga pamoja na washika vibendera wake akisema kuwa wameinyima Yanga ushindi.

  Angalia VIDEO ya shabiki huyo wa Yanga akishusha lawama zake kwa uchungu mkubwa sana uliomfanya ashindwe kuzuia machozi kutiririka kwenye macho yake.


  [/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]

  huyu atakuwa ni shabiki mkuu Boflo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,037
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa analipwa na hawa akina Dauda. Kila mara alie yeye tu. Kuna njia nyingi za kutafuta umaarufu. Nami ngoja nianze mara moja.
   
 3. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  kwa kweli,nimeamini kuna mashabiki wa kila namna humu duniani.
  Ila ukiwa unashabikiia kitu kuita kiasi,unakuwa mtumwa na sio mshabiki
   
 4. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,241
  Likes Received: 2,918
  Trophy Points: 280
  Tatizo lake lazima apelekwe MOI,INDIA analia kwaajili ya YANGA, SI BURE nadhani NJAA MBAYA.
   
 5. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa nilimsikia akiongea kwa kweli kwa anayoyafanya lazima atakuwa msukure wa Yanga. Uliisikia hii "Sijui nini sijui nini"...Huyo jamaa anawaogopa mashabiki wa Simba kama ukoma, nilimsikia akisema, "Nitawaambia nini nyumbani wakati mashabiki wa Simba wananisubiri"...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Upuuzi mtupu...mapovu yanamtoka
   
 7. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,216
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  Da hii kali
   
 8. Rosweeter

  Rosweeter JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 1,136
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Huyu chizi anaonekana wa pande zile za kina ishomile, wangeendelea kumhoji angeng'ata hiyo maikrofoni kwa uchungu.
   
 9. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Ha ha ha ha jamaa analafudhi ya kinyakyusa.............
   
 10. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Bangi + Gongo = Upuuzi mtupu!
   
 11. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 160
  kenya vijana uwa wanajinyonga arsenal ikifungwa na manchester,kila arsernal na man u zikikutana na arsenal akafungwa vijana kenya ujiua kukwepa aibu na deni sababu ya betting,sijashangaa uyo
   
 12. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Uamusho ndani ya Yanga
   
 13. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mpuuzi tu huyu eti anaumia yeye na sio wachezaji.Huyu hana kazi ya kufanya labda msukule mbona mie Yanga lakini hata mechi hiyo sikuwa na muda wa kuiangalia
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  [h=1]JE HUU NI UZALENDO[/h]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  [h=1]UZALENDO[/h]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nonsense! Wanaume wanatengeneza pesa unawalilia!
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. t

  thedon JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  I would say someone needs to get laid!
   
 19. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,285
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  huyu anaumwa ugonjwa unaitwa fan-lopia....
   
 20. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Upuuzi tu kukosa cha kufanya!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...