VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote

Huyu chizi anaonekana wa pande zile za kina ishomile, wangeendelea kumhoji angeng'ata hiyo maikrofoni kwa uchungu.
Umeonaaeeeh hili li chizi fresh lazima litakuwa la huko huko maana ile lafudhi yake lazima atakuwa alikuja kwa usafiri wa senene.
 
kenya vijana uwa wanajinyonga arsenal ikifungwa na manchester,kila arsernal na man u zikikutana na arsenal akafungwa vijana kenya ujiua kukwepa aibu na deni sababu ya betting,sijashangaa uyo
Serikali lazima iingilie kati, kwa kushabikia Arsenal lazima nguvukazi itakwisha wakati WENGER mwenyewe anazidi kupeta kwa kuingiza faida lukuki, yeye hana shida na ubingwa shida lengo lake ni kufanya biashara ya watu tu.
 
Jamaa juzi juzi kwenye mkutano mkuu wa Yanga si alipewa zawadi ya pikipiki,kama ishara ya kutambua mapenzi yake kwa Yanga.
 
Msipende Kuwatusi watu Mbona Muchacho alianguka akazimia Uwanja wa Uhuru (Zamani Taifa)? Hakukajeliwa Si ndio Mapenzi yake Bwana au mnadhani hatujui kuwa Marehemu Kajole Alimtoa mwanae Kafara kwa ajili Ya Lunyasi? Tatizo wengi mnaoponda mlikuwa bado hamjakuja mjini au bado mpo mkoa hamjazaliwa kabisa. . . . Ulize mtaambiwa sio kuponda tu jamaa kachukuwa Pikipiki wewe unaeponda hata Tyre la Basikeli huna
 
Back
Top Bottom