VIDEO: Jamaa aficha madawa ya kulevya ndani ya vitunguu maji

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Salamu nyote.

Katika kuonyesha kwamba watu wanakwenda na plan "B" katika packing za madawa ya kulevya, kumbe Kitunguu maji n dili kama kifungashio.

Watu wamekuwa wakitumia technique hii miaka nenda rudi.

Tazama hapa.
 
Vita inahamishiwa kwa wauza mafenesi.hakuna jiwe litakaa juu ya jiwe.
 
Back
Top Bottom