Video: Ishara za anguko la haraka la Yahya Jammeh

maggid

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,084
1,246
Ndugu zangu,

Januari 19 nilishiriki mjadala kwenye kipindi cha ' Kwa Undani' , Sauti ya Amerika. Mjengwablog imeandaa video iliyoingiza majibu yangu ( Maggid Mjengwa) kwa mwandishi Idd Ligongo wa VOA.
 
Sawa angalau ameondoka kwa amani hivyo haina haja ya Ecowas kufanya operation yoyote mjini Banjul
 
Back
Top Bottom