Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,097
Tunapoelekeza kujinyonga itakuwa kawaida sana ,yaani mtu akiona chenga maisha hayaendi anajinyonga tu kuliko kuwa mtaji wa wanasiasa.Nikiwaambiaga kuwa DUNIA si sehemu salama ya kufanya uzao wanakataa.
Yaani mimi, mimi hapa eti mimi na akili zangu zote bado naleta watoto kwenye dunia ya hovyo namna hii?
Labda nife nizaliwe tena.
HahaaaaaNikiwaambiaga kuwa DUNIA si sehemu salama ya kufanya uzao wanakataa.
Yaani mimi, mimi hapa eti mimi na akili zangu zote bado naleta watoto kwenye dunia ya hovyo namna hii?
Labda nife nizaliwe tena.
Au Mtaji wa Pande Mbili za Giza na Nuru. Bora ujilipue tu.Tunapoelekeza kujinyonga itakuwa kawaida sana ,yaani mtu akiona chenga maisha hayaendi anajinyonga tu kuliko kuwa mtaji wa wanasiasa.
Sifahamu hilo fundisho lako la "shetani" umelitolea wapi?Kanileta kwa sababu gani? Kwanini pia alimtupia shetani Duniani? Inaumiza sana.
Kwa hiyo huyo anaye leta watu, Aliwaleta waje wateseke?Ndiyo uelewe aliyekuleta ni nani na amekuleta kwa sababu gani?
Majibu yapo kwenye Uislam.
Mungu huyo hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Hoja hii niliulizwa na mwanangu wa miaka 7 ...Kwa kuwa Mungu ana uwezo mkuu,Si angepamvana na tu na shetani hukohuko ,badala kleta huku atutese na magonjwa,njaa,dhiki ,nk
Hautokuwa wa kwanza.Tunapoelekeza kujinyonga itakuwa kawaida sana ,yaani mtu akiona chenga maisha hayaendi anajinyonga tu kuliko kuwa mtaji wa wanasiasa.
Lakini pia alituleta bila idhini yetu kuteseka Duniani. Inafikirodha na kuumiza sana. Tunateseka bila sababu yoyote.Kwa hiyo huyo anaye leta watu, Aliwaleta waje wateseke?
Na aliumba dunia yenye mateso ilhali uwezo wa kuumba dunia isiyo na mateso anao na alikuwa nao?
Umeelewa nini?Baada ya kurudia zaidi ya mara tatu ndo nimeelewa ulichokusudia kusema
Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Lakini pia alituleta bila idhini yetu kuteseka Duniani. Inafikirodha na kuumiza sana. Tunateseka bila sababu yoyote.
🤔😂😂😂🚮🚮🚮Majibu yapo kwenye Uislam.
Dunia inahitaji watu kuoneana huruma kutoa sadaka na zaka kwa wasiojiweza ,kwa sababu duniani sisi binadamu ndio tunategemea na kuna matabaka ili kusaidiana .Hapo ukute dili za siku zote zimekataa, nyumbani kuna familia inasubiri kula ikiwa yeye mwenyewe hajala, mwenye nyumba anadai kodi yake na hana dira yeyote ikizingatiwa siku imeisha.
Hii dunia haipo fair kabisa. Unaweza kuta kuna mtu anakula mpaka kusaza na mwingine hajui mlo wake wa siku anaupatia wapi.
Japo kuna utapeli na ulaghai mwingi, kuna wakati ukiombwa msaada na una uwezo wa kutoa ni bora kuutoa. Unaweza kuta kwa kidogo utakachotoa itakuwa umeokoa familia nzima.
inaonekana ni kama mtu aliyekata tamaa flani hivi halafu no one cares about himUmeelewa nini?
Yeah inasikitisha sana na anahitaji faraja katika haya maisha.inaonekana ni kama mtu aliyekata tamaa flani hivi halafu no one cares about him