Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,362
Video nyingi za propaganda wanazopost wapiganaji wa ISIS ni za upande mmoja na huwazikiwaonyesha kwamba ni watu wajasiri na wasiokuwa na chembe ya uoga. Video hii ilichukuliwa kwenye camera iliyopo kwenye helement ya mmoja kati ya wapiganaji wa ISIS na inaonyesha ukweli wa yote yanayotokea wakati wakijiandaa au wakienda kutekeleza mauaji yao.
Wapiganaji wanaonekana wakiwaaga marafiki huku wakitoka na machozi huku wakiwaambia wenzao waendele kupigana maana wapo karibu na PARADISE.
Video Haitishi hii hailengi kutukuza vita bali inaonyesha ukweli halisi ili watu wajifunze ubaya wa vita.