Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,468
- 7,733
Huyu ni Askari Magereza ?, Kama jibu ni ndio basi huko Magereza kuna Watu wapumbavu sana
Kwa kutumazama huyu dogo ni mpumbavu Sana , hii video yake inakiuka misingi ya haki za binadamu.![]()
4K views · 6.1K reactions | Huyu hapa Askari Magereza akitoa ushuhuda juu ya machungu ya Jela. Anasisitiza kuwa Jela siyo sehemu nzuri, na pia siyo sifa nzuri kujinadi kuwa Jela ni sehemu ya wanaume. KUWA RAIA MWEMA SIKU ZOTE Credit to. ASKARI_WA_Z
Huyu hapa Askari Magereza akitoa ushuhuda juu ya machungu ya Jela. Anasisitiza kuwa Jela siyo sehemu nzuri, na pia siyo sifa nzuri kujinadi kuwa Jela ni sehemu ya wanaume. KUWA RAIA MWEMA SIKU ZOTE...www.facebook.com
Asichokijua ni kwamba yeye hapo alipo ni mfungwa anayepata ruhusa ya kurudi nyumbani kwake baada ya kutumikia muda wa kifungo ambao yeye anaona ni ajira. Kufanya kazi magereza na polisi kunataka ujitoe ufahamu.Kwa kutumazama huyu dogo ni mpumbavu Sana , hii video yake inakiuka misingi ya haki za binadamu.
Naomba jeshi la Magereza watu wapumbavu Kama hawa iwachukulie hatua za kinidhamu .
Kwani tunajua wote kuwa hakuna sheria inayoruhusu mfungwa au mahabusu kupigwa marungu akiwa gerezani
Kwa kutumazama huyu dogo ni mpumbavu Sana , hii video yake inakiuka misingi ya haki za binadamu.
Naomba jeshi la Magereza watu wapumbavu Kama hawa iwachukulie hatua za kinidhamu .
Kwani tunajua wote kuwa hakuna sheria inayoruhusu mfungwa au mahabusu kupigwa marungu akiwa gerezani
Mbona kasema yeye mwenyewe anapaogopa jela ingawa ni askari. Chukua ujumbe chanya. Anakanya watu wanaojifanya wababe ati hawaogopi jela. Kuna familia hazina amani wanafanyiwa unyanyasi na wenye nguvu na kuwatishia kashtaki popote mie jela siogopi. Ujumbe wao ndio huu toka kwa poti kwamba jaribu sasa uingie huko ukajionee showAsichokijua ni kwamba yeye hapo alipo ni mfungwa anayepata ruhusa ya kurudi nyumbani kwake baada ya kutumikia muda wa kifungo ambao yeye anaona ni ajira. Kufanya kazi magereza na polisi kunataka ujitoe ufahamu.
Ashaliwa kichwa fatiliaPoti anafanya kazi nzuri kukanya na kuogopesha watu wanaosema hawaogopi jela. Iogope jela kwa kuepuka mambo ya uvunjifu wa sheria wa makusudi. Jela sio picnic au matembezi ya bustanini. Ni sehemu ya kuogopesha. Sio sehemu ya kujitakia kuwa huko.
HakikaIshakula kwake
Imeisha hiyo
Sawa mkuu, watu wanajitoa fahamu wakati ujumbe wake poti uko wazi.Take it positive. Anajaribu kuelimisha watukutu kama nyie
Walimuonea. Ujumbe mzuri kabisa huoHii video ya miaka mingi sana si chini ya kumi na alifikuzwa huyu dogo
Hiyo ndo Kazi walimtuma ?Walimuonea. Ujumbe mzuri kabisa huo