MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Hii ndiyo CCM mpya chini ya Magufuli msikilize huyo
TOTAL SHAME INDEED-Hivi tumefikaje hapa? Kuna namna kama nchi tunaweza kujikwamua toka kwenye hili?Hii ndiyo CCM mpya chini ya magufuli msikilize huyo
View attachment 1307983
Total rubbishHii ndiyo CCM mpya chini ya magufuli msikilize huyo
View attachment 1307983
Huyo Si ni Mmoja ya wabunge wenye elimu ya Darasa la SabaHii ndiyo CCM mpya chini ya magufuli msikilize huyo
View attachment 1307983
Ndiyo Sera za CCM kwa Sasa, na wanaccm wanashangiliaTOTAL SHAME INDEED-Hivi tumefikaje hapa? Kuna namna kama nchi tunaweza kujikwamua toka kwenye hili?
Mkuu..Completely Rubbish.Total rubbish
Ni upuuzi wa hali ya juu hata sisi tulio neutral tunaona kinyaa kwa watu kama hawaMkuu..Completely Rubbish.
Dah ubaguzi mbaya sana huu utatugharimu pakubwa,Hii ndiyo CCM mpya chini ya Magufuli msikilize huyo
View attachment 1307983
Na viongozi wake wa chama pia wanapenda kusikiaJamaa anajua kuongea vitu ambavyo hadhira inataka kusikia
Na viongozi wake wa chama pia wanapenda kusikia
Kiongozi wa juu haangalii elimu au vyetiHuyo Si ni Mmoja ya wabunge wenye elimu ya Darasa la Saba
Ni CCM wanafurahia Sera za CCM ya magufuli, hapa tunaweka kumbukumbu vizuriSisi wananchi wa Tanzania hatuna akili nasema tena akili zetu hazina akili,,,haiwezekani mtu atambe namna huiyo halafu tunabaki kuchekacheka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni CCM wanafurahia Sera za CCM ya magufuli, hapa tunaweka kumbukumbu vizuri