KWELI Video hii imetengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde

KWELI Video hii imetengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Source #1
View Source #1
Wakuu

Ni dosari gani zinazoonekana kwenye video hii?

Mimi nimeona kadhaa mathalani watu wanavyojongea kama vile si halisi.

1770362926066.png
 
Tunachokijua
Wadau wa JamiiCheck kutoka katika jukwaa la JamiiCheck.com na kurasa za mitandao za JamiiCheck wameshiriki kubainisha dosari zinazoonekana katika video iliyowasilishwa na mdau.

Ambapo wengi wamebainisha kuwa video hiyo si halisi na kuna uwezekano kuwa imetengenezwa kwa Teknolojia ya AKili Unde (AI). Miongoni mwa sababu zilizotajwa ni kutokuwepo kwa matendo yasiyo ya kawaida.

Uhalisia wa video hiyo kwa mujibu wa JamiiCheck

JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa video hiyo imetengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde.

Licha ya mapungufu ynayoonekana katika video hiyo ikiwemo watu kufanya matendo yasiyo ya kawaida lakini pia nyenzo za kidigitali za kubaini maudhui yaliyotengenezwa kwa AI, yanabainisha kuwa maudhui hayo yametengenezwa kwa teknolojia hiyo.
Nyenzo ya Hive Moderation inaonesha kuwa Asilimia 99 za video hiyo imetengenezwa kwa teknolojia hiyo.
1770640807115-png.3541541
Jibu ni hilo kaka video siyo halisi. Imetengenezwa kwa akili unde. Kadri siku zinavyosogea tutashindwa kutofautisha matukio halisi na ya unde.
 
Nimekagua video hiyo kwa makini. Hitimisho: uwezekano mkubwa si tukio halisi; ni AI/CGI (video ya kutengenezwa kidijitali).

Sababu kuu zinazoonyesha si halisi:

1. Fizikia isiyo ya kawaida

Daraja linapasuka kwa namna “safi” sana na sehemu kubwa inaanguka mara moja bila muendelezo wa nyufa unaoendana na uhandisi wa madaraja.

Magari na watu wanaonekana kuchukuliwa na maji kwa mtiririko usio thabiti (baadhi yanazama/yanatoweka kwa njia isiyoelezeka).

2. Mwendo wa watu (crowd behavior)

Watu wengi wanakimbia kwa mwelekeo mmoja kwa wakati mmoja, bila mshtuko wa kweli au kusitasita—tabia hii ni ya kawaida kwenye video za AI.

3. Uhalisia wa mazingira

Mandhari (bonde, majengo, ukungu) inaonekana imepangwa sana kisanaa; kina cha uwanja (depth) na mwanga vinafanana kupita kiasi katika fremu tofauti—alama ya video za kutengenezwa.

4. Ubora na mpito wa fremu

Kuna mpito wa ghafla (jump) kati ya hali ya daraja zima na kuporomoka kamili, bila hatua za kati zinazotarajiwa kwenye tukio halisi.

Hitimisho la mwisho

👉 Video hii si tukio la kweli; inaonyesha video ya AI/CGI iliyotengenezwa kwa madhumuni ya kusambaa (viral) au burudani.
 
Bado umetumua AI kugundua video ya AI. Mkuu kesi ishakua ngumu mgeni kakataa soda anataka 600 yake
 
Back
Top Bottom