Huyu nadhani soon kazi hana
Siyo bar mkuu ni office za Taasisi nyeti Tanzania, sauti haina umhimu angalia tukio lenyewe asubuhi kabisa mfanyakazi anakata viuno ofisini, pembeni sijui ndo boss au nani vile anakunywa chai na vipande vya mkate. Aibuu Aibuu yake hata yeye. Kumbe ndo maana ya lile agizo kuwa wafanyakazi wote wa hii taasisi watatumbuliwa. AJABU.Haina sauti? Na hiyo itakuwa ni ofisi ya baa maarufu, so sidhani kama ataathirika
Mh! Basi watumbuliwe tu kama ni ofisi nyeti hivyoSiyo bar mkuu ni office za air Tanzania, sauti haina umhimu angalia tukio lenyewe asubuhi kabisa mfanyakazi anakata viuno ofisini, pembeni sijui ndo boss au nani vile anakunywa chai na vipande vya mkate. Aibuu Aibuu yake hata yeye. Kumbe ndo maana ya lile agizo kuwa wafanyakazi wote wa hii taasisi watatumbuliwa. AJABU.