Video: Gari isiyopitisha risasi ikifanyiwa majaribio

Video: Gari isiyopitisha risasi ikifanyiwa majaribio

Huyo jamaa ametulia ndani mm hapo sikai kibongo bongo usijefanya hilo jaribio
 
Hili ni zoezi LA kishamba because hizi materials zinajaribiwa kabla ya mounting, hiyo ni mikwara tu
 
Amazing, nimeangalia kwa makini hivi mpiga risasi akirudia kulenga alipolenga risasi, je risasi haiwezi kupenya?
Siyo rahisi kulenga mahali pamoja, labda gun iwe mounted kwenye stand nzito kuzuia shaking
 
Back
Top Bottom