Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,651 Reaction score 3,822 Mar 28, 2014 #1 Mimi ni mpenzi wa Video gamez, haswa za kucheza kwenye pc Kwa mweye video gamez km GTA SA, COD MW3 au nyingine yoyote ya Action ambayo ni kali naomba anipatie, ili nipuguze punguze mawazo kimtindo, Niko Dar
Mimi ni mpenzi wa Video gamez, haswa za kucheza kwenye pc Kwa mweye video gamez km GTA SA, COD MW3 au nyingine yoyote ya Action ambayo ni kali naomba anipatie, ili nipuguze punguze mawazo kimtindo, Niko Dar
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,651 Reaction score 3,822 Mar 28, 2014 Thread starter #2 then hv GTA 5 imetoka? naihitaj sana, na GTA San Andreas
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 14,439 Reaction score 31,024 Mar 28, 2014 #3 Ngoja waje wenzio wa magorofani, uhindini, uzunguni, na mujini, wale wa ileje, isyesye, ilembula, wakarusa, mbozi hapawahusu hapa
Ngoja waje wenzio wa magorofani, uhindini, uzunguni, na mujini, wale wa ileje, isyesye, ilembula, wakarusa, mbozi hapawahusu hapa
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,651 Reaction score 3,822 Mar 28, 2014 Thread starter #4 Hahah Mkuu Bufa wote wanakaribishwa, hata wa ilembula,mbozi,laela,isanga,nkangamo,kyela,tukuyu,ileje,ipinda,nk Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hahah Mkuu Bufa wote wanakaribishwa, hata wa ilembula,mbozi,laela,isanga,nkangamo,kyela,tukuyu,ileje,ipinda,nk
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,165 Mar 28, 2014 #5 Mwamba028 , Bufa mnawatenga wa Ilomba , Sai, Forenst mpya, MAMA JONI, uyole, hebu nitajieni hili ni gem gani fastaaaaa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwamba028 , Bufa mnawatenga wa Ilomba , Sai, Forenst mpya, MAMA JONI, uyole, hebu nitajieni hili ni gem gani fastaaaaa
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,651 Reaction score 3,822 Mar 28, 2014 Thread starter #6 snipa said: Mwamba028 , Bufa mnawatenga wa Ilomba , Sai, Forenst mpya, MAMA JONI, uyole, hebu nitajieni hili ni gem gani fastaaaaa Click to expand... Mkuu 2ko pamoja wote hao,,hilo game cjalijua asee,,vp unalo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
snipa said: Mwamba028 , Bufa mnawatenga wa Ilomba , Sai, Forenst mpya, MAMA JONI, uyole, hebu nitajieni hili ni gem gani fastaaaaa Click to expand... Mkuu 2ko pamoja wote hao,,hilo game cjalijua asee,,vp unalo?
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,370 Mar 28, 2014 #7 snipa said: Mwamba028 , Bufa mnawatenga wa Ilomba , Sai, Forenst mpya, MAMA JONI, uyole, hebu nitajieni hili ni gem gani fastaaaaa Click to expand... Kwa nilivyofundishwa hili gemu ni la binduki.
snipa said: Mwamba028 , Bufa mnawatenga wa Ilomba , Sai, Forenst mpya, MAMA JONI, uyole, hebu nitajieni hili ni gem gani fastaaaaa Click to expand... Kwa nilivyofundishwa hili gemu ni la binduki.
J Joel360 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 986 Reaction score 657 Mar 29, 2014 #8 Bufa said: Ngoja waje wenzio wa magorofani, uhindini, uzunguni, na mujini, wale wa ileje, isyesye, ilembula, wakarusa, mbozi hapawahusu hapa Click to expand... sema hapakuhusu wewe kwa sababu hujui chochote kuhusu video games.
Bufa said: Ngoja waje wenzio wa magorofani, uhindini, uzunguni, na mujini, wale wa ileje, isyesye, ilembula, wakarusa, mbozi hapawahusu hapa Click to expand... sema hapakuhusu wewe kwa sababu hujui chochote kuhusu video games.
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,165 Mar 29, 2014 #9 h120 said: Kwa nilivyofundishwa hili gemu ni la binduki. Click to expand... hii ni hatari we unawajua hawa tu
h120 said: Kwa nilivyofundishwa hili gemu ni la binduki. Click to expand... hii ni hatari we unawajua hawa tu
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,165 Mar 29, 2014 #10 Mwamba028 said: Mkuu 2ko pamoja wote hao,,hilo game cjalijua asee,,vp unalo? Click to expand... sina mkuu! Linaitwa Deus Ex The Fall-RELOADED lina 3.26GB nikupe link uli download?
Mwamba028 said: Mkuu 2ko pamoja wote hao,,hilo game cjalijua asee,,vp unalo? Click to expand... sina mkuu! Linaitwa Deus Ex The Fall-RELOADED lina 3.26GB nikupe link uli download?
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,822 Reaction score 1,434 Mar 29, 2014 #11 snipa said: Mwamba028 , Bufa mnawatenga wa Ilomba , Sai, Forenst mpya, MAMA JONI, uyole, hebu nitajieni hili ni gem gani fastaaaaa Click to expand... Deus Ex, :thumbsup: ol the way. Droid ilikua inachemka daily cuz of this thing. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
snipa said: Mwamba028 , Bufa mnawatenga wa Ilomba , Sai, Forenst mpya, MAMA JONI, uyole, hebu nitajieni hili ni gem gani fastaaaaa Click to expand... Deus Ex, :thumbsup: ol the way. Droid ilikua inachemka daily cuz of this thing.