Video Format supported by STAR X TV

Banned

Member
Apr 7, 2013
45
12
Salaam!

Naomba kujua video format ambazo ziko supported na Tv za Star X ambazo sio smart tv maana nimejaribu ku Play MP4 zimegoma!

Naambiwa kwa kiingereza cha ki china Video Not Support
 
Pole mkuu,hakuna TV hapo

Anyway ni model gani hyo star x yako

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kwenye swala la format not supported kuna uhalisia zaidi ya mmoja.

1. Inawezekana software iliyoko kwenye hiyo TV yako haijawezeshwa kucheza codecs za mp4 ambayo unajaribu kuicheza. Mfano tuna mp4 yenye codec H264 kama sikosei, ambayo hii huchezwa na TV nyingi, ila ukipata mp4 clip yeny codec kuanzia H265 and above basi TV yaweza kugoma.

2. Kitu kingine yaweza kuwa ni resolution haiko supported. Japo baadhi ya TV zitakwambia swala ni resolution na inaweza ikacheza audio pekee au isicheze kabisa.
Salaam!

Naomba kujua video format ambazo ziko supported na Tv za Star X ambazo sio smart tv maana nimejaribu ku Play MP4 zimegoma!

Naambiwa kwa kiingereza cha ki china Video Not Support

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Format ngumu kuplay ni MKV, tena mara nyingi sauti ndo inakuwa haitoki lakini picha inacheza...
Sasa ukiona format tofauti na hiyo haisapoti basi ujue huna TV hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam!

Naomba kujua video format ambazo ziko supported na Tv za Star X ambazo sio smart tv maana nimejaribu ku Play MP4 zimegoma!

Naambiwa kwa kiingereza cha ki china Video Not Support

format ya Star X/Singsung/Sansan na tv zingine zenye software zinazofanana na hizo ni MP4 H264, AVI,VOB,DAT,MKV... sasa ukiweka zile MP4 ambazo sio katika mfumo ya H264 haitacheza.
 
Daah nimeweza gundua tatizo ni kwamba hizi TV za kichina zina create file jingine ndani ya Flash!

mfano ukiweka wimbo katika Flash Akon- Don't Matter TV nayo ina create file jingine liniatwa ._Akon-Dont Matter
Sasa kama flash ina MP4 lets say 200 basi ujue top on the list zitakuepo hizo Junk files hivo inabidi u scroll kutafuta mafile original ndo itacheza

Ni usumbufu lakini utafanye je
 
Back
Top Bottom