Video Editor anahitajika

Video Editor anahitajika

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
1,191
Reaction score
1,247
Habari zenu Wakuu,binafsi sina mengi zaidi.
Mimi ni youtuber nahitaji mtu wakunitengenezea Intro Kwa ajili ya vipindi vyangu,km yupo nicheck inbox.Asante
 
Channel yako inaitwaje...

Mimi ni youtuber pia...naweza kufanya video editing pia..

Natumie Da vinci resolve
 
Habari zenu Wakuu,binafsi sina mengi zaidi.
Mimi ni youtuber nahitaji mtu wakunitengenezea Intro Kwa ajili ya vipindi vyangu,km yupo nicheck inbox.Asante
Nyie ndio mnaoandika "Jionee hapa live kifo cha morisoni" afa huku aking'ata meno na cheko la zari the boss lady/Nadia mukami??? Haki nikipewa mamlaka watu wakuanza nao ni hawa wanaodanganya mitandaon
 
Ukishapata intro ,nikupe advice jifuze film making/ video editing tutorial zipo humo humo YouTube hii itakuasaidia Sana.
 
Channel yako inaitwaje...

Mimi ni youtuber pia...naweza kufanya video editing pia..

Natumie Da vinci resolve
Channel yangu inaitwa (Pharmacy Yetu)ila zamani ilikua inaitwa Ayo Africa &Kikeke,ila uki search sasa hivi tumia pharmacy Yetu
Screenshot_2022-04-24-22-26-19-784_com.google.android.youtube.jpg
 
Umesajili hii chaneli yako?, kama bado fanya haraka mno kabla rungu alijakuangukia 🤣🤣🤣.
Uzuri taarifa zako ziko wazi 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom