Rutunga M, program zote za editing zina chorma key ila tuu watu wako wasivae nguo za blue!.Naomba kujuzwa juu ya hii programme lakini nataka inayo-operate katika Window not mac
Naomba pia ufafanuzi.
Ukitazama studio nyingi za TV wakati wa news hasa Channel ten,Star tv na TBC wasomaji wa news hupigwa picha wakiwa katika vyumba vya kawaida lakini background zinazoonekana zikibadilika badilika huzitengeneza via computer,je ni programme gani wanatumia?
nitashukuru sana
Rutunga M, program zote za editing zina chorma key ila tuu watu wako wasivae nguo za blue!.
Kama unatumia mac, windows za nini?. Prog ya mac ni final cut pro, ina edit kwa real time, program zote za windows zinachukua muda mrefu sana kurender materias za HDV.
Asante,Lakini mimi natumia DV format kwa sasa siyo HDV.Pia Final Cut is only for mac ambazo sina
tatizo la kuchelewa kwa window siyo tatizo kubwa kwangu kwani sifanyi kazi kubwaaa,fupu fupi tu
nimejaribu kudwnloadd hizo magix pro naona ina 354MB na sijui kama hiyo ni trial ama vipi.Lakini kwa mwanga huu nawashukuru sana
JF 4 L!
Sakafia kabisa huo ujumbe.BelivdatMkubwa,Zunguka zunguka hoja lakini kama unafanya video editing ni lazima utumie Computer na OS za MAC,vinginevyo ni kucheza tu.
kweli kabisa tena kwa bei unayotumia kununua MAC basi utapata kompyuta yenye uwezo wa wa hali ya juu ya windows.Ni uzushi kuwa unahitaji mac kufanya editing halina ukweli wowote, dollar for dollar kwenye windows utapata compyuta nzuri zaidi.
Ni kweli kabisaaaaaaaa?!!kweli kabisa tena kwa bei unayotumia kununua MAC basi utapata kompyuta yenye uwezo wa wa hali ya juu ya windows.
Sidhani ni mpaka uwe na computer ya mac nio ufanye quality graphics editing. una chohitaji ni kuwe na computer hatakama ni widnows yenyew uwezo mkubwa wa kuhandle graphics. Zipo computer za windows zenye specs nnuzri tu.
Mi nadhani wanaosema ni Mac tu ndio inafaa kwenye mambo ya graphcs editing wanakuwa washabiki zaidi
Ni kweli kabisaaaaaaaa?!!
Mie natumia window kwa video editing kwa miaka mingi tu!
Labda ndugu zetu Mzizi Mkavu na Mtazamaji jaribu kutupa specification ya pc inayoweza kuhandle vizuri graphics katika window.
Mie natumia PC iliyo na window XP. More details HP AMD Athlon 64 Processor 3800+ 2.40 GHz 2GB RAM.
Kwa editing natumia Adobe Premier CS 5.5 na mambo ni bomba.
Kama kuna mtu anaweza kutupa specification ya nyingine itakuwa vizuri zaidi.
Ni kweli kabisaaaaaaaa?!!
Mie natumia window kwa video editing kwa miaka mingi tu!
Labda ndugu zetu Mzizi Mkavu na Mtazamaji jaribu kutupa specification ya pc inayoweza kuhandle vizuri graphics katika window.
Mie natumia PC iliyo na window XP. More details HP AMD Athlon 64 Processor 3800+ 2.40 GHz 2GB RAM.
Kwa editing natumia Adobe Premier CS 5.5 na mambo ni bomba.
Kama kuna mtu anaweza kutupa specification ya nyingine itakuwa vizuri zaidi.
Aiseee nilipata Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The world's most resilient BitTorrent site sasa jaribu bahati yako.aisee natafuta cs5 naweza pata.
Si kweli. Ni ushabiki tu kama wa simba na YangaNa ili upate quality video lazima uwe na programm bora na nzuri mfano Final cut pro ambayo inafanya katika Mac tu.