Video: Dr. Slaa ndani ya Washington D.C., USA

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
480
Reaction score
644
Karibu katika sehemu mbili za mahojiano na Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzanzia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Willbrod Slaa yaliyofanyika Septemba 22, 2013 hapa Washington DC. Kati ya aliyozungumza ni pamoja na
1: Hali ya kisiasa nchini Tanzania hivi sasa
2: Nini walichomaanisha waliposema "nchi haitatawalika"?
3: Ni kweli kuwa CHADEMA inaamini kuwa Tanzania hakuna amani?
4: Kuna namna ambavyo tunaweza kutenganisha "siasa na maamuzi ya serikali"?
5: Anaonaje tofauti ya UTENDAJI WA BUNGE baina ya kipindi alichokuwepo yeye na hili la sasa?
6: Vurugu zinazotokea bungeni.....Kwanini?
7: Harakati za kuungana na wapinzani wengine kupinga mchakato wa katiba..."hamjifuniki wakati kumekucha?"
8: Maswali ya wasikilizaji na wasomaji wetu
9: Kwanini CHADEMA inahusishwa na vurugu katika mikutano yake?
10: Kwanini hawajatoa mkanda wa mauaji ya Arusha waliosema wanao?
11: Kwanini hawawajibishi baadhi ya wabunge ama wanachama wanaoonekana kuasi chama?
12: Maendeleo Tanzania. Yanapangwa kulenga maendeleo mjini?yanagawa umaskini kuwa wa mjini na vivjijini?Na mengine mengi

Mahojiano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa Part 1

Mahojiano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa Part 2

Source: CHADEMA DIASPORA : Mahojiano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa
 
Last edited by a moderator:
maneno mazuri yaliyojaa busara na hekima kutoka kwa rais mtarajiwa wa nchi yetu.
 
Wekeni pia video ya kwenye mkutano na watanzania waishio DMV akiwepo Leticia Nyerere, Josephine na Dr. Slaa na siyo ya mahojiano peke yake.

Hizi siasa za CHADEMA USA cherry picking haziwezi kuwasaidia lolote kwa sababu mficha malazi kifo ni kiboko yake.

Kwenye mkutano na Watanzania wa DMV mmeweka audio, kwenye mahijiano akiwa peke yake mnaweka video.

Mbio zenu za sakafuni zimeishia ukingoni.

Cheap spinning za kibavicha.
 
Mkuu ni vyema wakatuwekea za Dr Slaa na za Mwigulu pia kwani kwa taarifa za humu jamiiforums wote wamefanya mikutano na watanzania
 
Wekeni pia video ya kwenye mkutano na watanzania waishio DMV akiwepo Leticia Nyerere, Josephine na Dr. Slaa na siyo ya mahojiano peke yake.

Hizi siasa za CHADEMA USA cherry picking haziwezi kuwasaidia lolote kwa sababu mficha malazi kifo ni kiboko yake.

Kwenye mkutano na Watanzania wa DMV mmeweka audio, kwenye mahijiano akiwa peke yake mnaweka video.

Mbio zenu za sakafuni zimeishia ukingoni.

Cheap spinning za kibavicha.

Inaonekana BAVICHA inawapeleka mbio sana. Sikiliza video upate knowledge.
 
Yule muuaji Mwigulu anayepambana na Dr Slaa yuko wapi? Bado anaendelea kujitekenya na kujichekesha mwenyewe kwenye mitandao?
 
wauaji ni makada ya machadema, yanamwagia watu tindikali, yanalisha watu sumu na kulipua watu kwenye mikutano yao ili yahurumiwe
 
Mulize Mwigulu aliyesema atatoa ushahidi hadi mbiguni akueleze alivyoumbuka
 
wauaji ni makada ya machadema, yanamwagia watu tindikali, yanalisha watu sumu na kulipua watu kwenye mikutano yao ili yahurumiwe
hivi unafikiria au unavumbi kichwan mbn kaa mropokaji vile
ulikuwa wapi kutoa ushahidi wako watu wengine kwel walking died
 
Karibu katika sehemu mbili za mahojiano na Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzanzia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Willbrod Slaa yaliyofanyika Septemba 22, 2013 hapa Washington DC

_DSC5025.JPG

Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzanzia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Willbrod Slaa akihojiwa na mwanaharakati wa changamoto yetu Mubelwa Bandio

Kati ya aliyozungumza ni pamoja na
1: Hali ya kisiasa nchini Tanzania hivi sasa
2: Nini walichomaanisha waliposema "nchi haitatawalika"?
3: Ni kweli kuwa CHADEMA inaamini kuwa Tanzania hakuna amani?
4: Kuna namna ambavyo tunaweza kutenganisha "siasa na maamuzi ya serikali"?
5: Anaonaje tofauti ya UTENDAJI WA BUNGE baina ya kipindi alichokuwepo yeye na hili la sasa?
6: Vurugu zinazotokea bungeni.....Kwanini?
7: Harakati za kuungana na wapinzani wengine kupinga mchakato wa katiba..."hamjifuniki wakati kumekucha?"
8: Maswali ya wasikilizaji na wasomaji wetu
9: Kwanini CHADEMA inahusishwa na vurugu katika mikutano yake?
10: Kwanini hawajatoa mkanda wa mauaji ya Arusha waliosema wanao?
11: Kwanini hawawajibishi baadhi ya wabunge ama wanachama wanaoonekana kuasi chama?
12: Maendeleo Tanzania. Yanapangwa kulenga maendeleo mjini?
yanagawa umaskini kuwa wa mjini na vivjijini?
Na mengine mengi

KARIBU UUNGANE NASI

Posted by Abdul Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
 
Kubali msikubali jamaa ni kichwa,na ENGLISH yake iko JUU huwzi ifananisha naya MKUU WA KAYA,huwa anapwaya sana kwenye hii line especially kwenye GRAMMER
 
Mahojiano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa Part 1 - YouTube
Mahojiano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa Part 2 - YouTube

JE UNADHANI NI MOJA YA AINA YA VIONGOZI MAKINI TUNAOHITAJI NA TUTAKAOJUTA TUKIWAKOSA KATIKA TANZANIA YA LEO HASA KWA MABADILIKO MAKUBWA NA YA HARAKA TUNAYOHITAJI ILI KWENDA SAMBAMBA NA MABADILIKO YA KIUCHUMI NA USAWA KWA WATANZANIA WOTE. TOA MAONI YAKO KAMA MTU MAKINI USIYESUKUMWA NA USHABIKI WA KICHAMA, KIMASLAHI AU MAKUNDI YENYE MALENGO TOFAUTI KWA MAENDELEO YENYE USAWA KWA WATANZANIA WOTE.
 
Ili watu waamini kuwa ni kauli za Slaa inabidi awe anahojiwa live tu. Akiandika kwenye mitandao watu hawawezi kujua kama ni yeye au Josephine.
 
Back
Top Bottom