Daaah kitu kama cha davido,wameshindwa ata fukia dah kweli bongo vituko,af hawa WCB wanatoa nyimbo kibao zote michujo kwann wactulie tu wakavunja kitu cha WCB album then wanang'oa ngoma moja moja kila mwez babaake,lazima watu wakae.
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app