Video: Deontay Wilder Akisema Nilichosema Juu Ya Mike Tyson

Dah,,,Mike mimi nimetokea kumkubali sana.
Umeweka fact mbilitatu kwenye uziwako lkn hapana sikuelewi kabisa
Sasa mkuu mtu unayemkubali ni kama wewe uchukue panga butu kisha ukate mgomba. Of course utaona panga lako kali.
 
Mimi ngoja niende nje ya mada kidogo.
Hivi suala la Mike Tyson na Evander kuonyesha dalili zote za kurudi ulingoni mnalizungumziaje?
 
Ngoja kwanza juzi juzi tu hapa nimetoka kumcheki Mike akiwatwanga watu Espn walionesha mapambano mengi nikakumbuka mbali. Kwanini asiombe azichape na mzee Tyson na yeye ajipatue umaarufu?
Hall of fame wa wakati huo walikuwa akina nani?
 
Back
Top Bottom