Mmawia JF-Expert Member Aug 20, 2013 121,947 95,237 Jun 21, 2021 #1 Kuna msemo wa waswahili kuwa mafahari wawili kamwe hawakai zizi moja. Hiyo ilijionyesha Iringa kati ya DC Kasesela na Mbunge mchungaji Msigwa. Leo hii Kasesera tayari amesha hamisha kila kilicho chake na kurudi kwao iwambi Mbeya na kumuacha Mch. Msigwa akifahidi ulanzi wake mjini Iringa. Your browser is not able to display this video.
Kuna msemo wa waswahili kuwa mafahari wawili kamwe hawakai zizi moja. Hiyo ilijionyesha Iringa kati ya DC Kasesela na Mbunge mchungaji Msigwa. Leo hii Kasesera tayari amesha hamisha kila kilicho chake na kurudi kwao iwambi Mbeya na kumuacha Mch. Msigwa akifahidi ulanzi wake mjini Iringa. Your browser is not able to display this video.
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,280 Jun 21, 2021 #2 Kuuminya upinzani ndiyo kanuni ya kwanza wanayopewa ma DC.
Mmawia JF-Expert Member Aug 20, 2013 121,947 95,237 Jun 21, 2021 Thread starter #4 Sky Eclat said: Kuuminya upinzani ndiyo kanuni ya kwanza wanayopewa ma DC. Click to expand... Hapo kwa Msigwa alikutana na jiwe la dodoma
Sky Eclat said: Kuuminya upinzani ndiyo kanuni ya kwanza wanayopewa ma DC. Click to expand... Hapo kwa Msigwa alikutana na jiwe la dodoma
Mmawia JF-Expert Member Aug 20, 2013 121,947 95,237 Jun 21, 2021 Thread starter #5 kelphin kepph said: Maisha ni mzunguko Click to expand... Alijisahau sana anaona kama yeye ndiye rais
kelphin kepph said: Maisha ni mzunguko Click to expand... Alijisahau sana anaona kama yeye ndiye rais
Ugumu wangu JF-Expert Member May 6, 2021 1,685 3,549 Jun 21, 2021 #6 Dunia duara Tena unazinguka kwa kasi sana leo Jpm hayupo loohπππ
imhotep JF-Expert Member Oct 13, 2012 46,674 71,045 Jun 21, 2021 #7 Haahaa.. basi hapo Meko alikuwa amefurahi sana kuwa Chadema kimeshauwawa kumbe hakujua yeye ndio anaondoka.
Haahaa.. basi hapo Meko alikuwa amefurahi sana kuwa Chadema kimeshauwawa kumbe hakujua yeye ndio anaondoka.
K Kichakoro JF-Expert Member Sep 10, 2008 3,065 5,393 Jun 21, 2021 #8 Wale wote wlaiosaidia ushindi ule Sasa wanaopata taabu, wengine wamepumzishwa wengine wamehamishwa. Sabaya awe funzo la namna Bora ya kutimiza mamlaka unayopewa na so vinginevyo
Wale wote wlaiosaidia ushindi ule Sasa wanaopata taabu, wengine wamepumzishwa wengine wamehamishwa. Sabaya awe funzo la namna Bora ya kutimiza mamlaka unayopewa na so vinginevyo
eliakeem JF-Expert Member May 29, 2009 15,662 13,820 Jun 21, 2021 #9 Yaani walisimama juu ya ma VX ya jamhuri na kuanza kuzozana!!!!? Sasa waendelee kuzozania hukoo.
Ugumu wangu JF-Expert Member May 6, 2021 1,685 3,549 Jun 21, 2021 #10 GENTAMYCINE said: Enzi za Mkatili au Mrembuaji wa Zenji? Click to expand... Enzi ya katili
P Paf JF-Expert Member May 25, 2021 1,703 3,304 Jun 21, 2021 #12 Huko Iringa, Alinunua madiwani wakahamia CCM. 2020 wananchi wakawapiga chini madiwani wote waliounga juhudi. Kasesera alikuwa na chuki za chinichini sana
Huko Iringa, Alinunua madiwani wakahamia CCM. 2020 wananchi wakawapiga chini madiwani wote waliounga juhudi. Kasesera alikuwa na chuki za chinichini sana
E Ekuweme JF-Expert Member May 28, 2018 3,458 3,821 Jun 21, 2021 #13 Kwa hiyo Kasesera anatakiwa aiache ile Vieite au ni moja kati ya stahiki zake?