Kumekucha: Mchungaji Msigwa kuiteketeza CCM Iringa Mjini , baadhi ya viongozi wa CCM wajiandaa kukimbia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,375
MSIGWA TENA!

Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha kwenye mkutano mkubwa wa Kibunge katika viwanja vya Mwembetogwa tarehe 26/10/2019. Kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni
Kama mbunge wako , nitasikiliza kero, maoni na ushauri kabla ya kwenda kwenye mkutano wa bunge, litakalo anza 5/11/2019.

Hii ni funga mwaka, usijaribu kukosa.

Mambo yatakuwa moto
Rev Peter Msigwa
Mbunge iringa Mjini

Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. @pmsigwa_ atakuwa na Mkutano wa Hadhara Siku ya Juma ( 762 X 640 ).jpg


Wote mnakaribishwa

=====

UPDATES24 Oct 2019 17HRS

Mktano umezuiliwa, zaidi soma:


 
Yani kuna mkutano wa Bunge unaanza tarehe 5 September 2019
 
Back
Top Bottom