VIDEO: Cover songs ninazozipenda

Nukta5

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,180
1,276
Mungu katoa vipaji vya kila aina kila mtu na chake, leo nimeona nije kushare na nyinyi videos za nyimbo ambazo zimerudiwa na aliyerudia kaitendea haki, mara nyingi huwa wanaziperform kwenye matamasha makubwa ya kutafuta vipaji kama American's Got Talent, British's Got Talent na cover songs ambazo zinawekwa youtube na hizi ndio zangu nazozipenda naomba na zako karibuni
 
Safiiii. Ile ya mwanzo:Little drummer boy, ulivyoimbwa unastahili kuimbwa mbinguni mbele ya Mungu na malaika wooote!
Thanks man for the collection.
 
Cover za nyimbo maarufu ktk vionjo vya raggae utazipenda, mfano cover ya hello by adella, sorry ya biaber, etc! Utazipenda.
Mcheki jamaa mmoja anaitwa Conkarah youtube.
 
Back
Top Bottom