Video Clip: CHADEMA walivotolewa bungeni jana/ Serukamba akitukana live

Mimi huwa ninashangaa sana hao wananchi waliowachagua watu kama Mh. Lissu, Mh. Sugu na Mh. Lema walikuwa na akili gani? Hawa wabunge watatu akili zao ni ndogo sana.

Mh. Lissu alimaliza dozi aliyopewa na Dr. Kigwangala? Naona kadiri siku zinavyozidi kwenda ni kama ugonjwa unataka kurudi tena.
 
Kama viongozi wa Bunge ndio hawa, kweli nchi imeoza. Loooh!!! tanzania yangu, umeachwa mkiwa na Nyerere.
 
Si ungekwenda wewe bungeni basi mwenye akili nyingi??? M/Kiti wako mwenyewe anamgwaya. Kumkutanisha na Lissu ni sawa na kumuambia akashike nyeti za Simba.
 
..Naibu Spika ana jazba.

..there was no reason kuchukua maamuzi aliyochukua.

..hata ukiangalia Pinda, Werema,na Lukuvi, utaona wanaonyesha kufadhaishwa na mambo yaliyoendelea.

..SPIKA NA NAIBU WAKE WABADILISHWE.
 
Mimi huwa ninashangaa sana hao wananchi waliowachagua watu kama Mh. Lissu, Mh. Sugu na Mh. Lema walikuwa na akili gani? Hawa wabunge watatu akili zao ni ndogo sana.

Mh. Lissu alimaliza dozi aliyopewa na Dr. Kigwangala? Naona kadiri siku zinavyozidi kwenda ni kama ugonjwa unataka kurudi tena.
Kingwangwala alisha lazwa Muhimbili dokta Ayoub yupo wizarani pale atakuambia alishatibu kile kichwa mbovu kabisa so bear in mind he is a patient he cant prescribe to any one nitakuserukamba sas F.U.C.K..You
 
Ukitaka kujua wameonewa. Mwangalie LUKUVI na mmunge aliye pembeni yake> wote wameinamisha vichwa chini kwa aibu ya maamuzi ya spika.
 
Bunge halina viongozi. Mtu kama ndungai ni kashfa kwa nchi. Anafaa kuongoza watoto wa shule ya msingi napo wakati anawahimiza kufanya mazoezi ya umishumta tu.

Hata hivyo asikae nao muda mrefu maana atawaharibu kisaikolojia. Hafai!.

NASIKITIKA KUASEMA KWAMBA BUNGE LA TANZANIA NI KAMA SERIKALI YAKE TU VILE HAKUNA KIONGOZI!

NA
 
Mi nadha ni sio Serukamba tu anatakiwa kuomba radhi, bali Ndugai anatakiwa pia kuomba radhi...
 
Mimi huwa ninashangaa sana hao wananchi waliowachagua watu kama Mh. Lissu, Mh. Sugu na Mh. Lema walikuwa na akili gani? Hawa wabunge watatu akili zao ni ndogo sana.

Mh. Lissu alimaliza dozi aliyopewa na Dr. Kigwangala? Naona kadiri siku zinavyozidi kwenda ni kama ugonjwa unataka kurudi tena.

Wewe ni ---- kweli
 
Mungu wangu wapi hapa tunakwenda!!! Mungu ibariki tazania kwani huku tuendako bunge litaishia kupigana vijembe na kusahau kujadili matatizo na mustakabali wa nchi yetu. Hakika bunge limepoteza muelekeo. Hivi ilikuwaje wakati wa sita mbona haya yote hayakutokea? Mwenye macho haambiwi tanzama...
 
Kwa video hii ninaamini 100% we do not have competend Assembly Speaker and Deputy!!! Aise, sijaona kosa la kumtoa Lissi nje, nimeona kosa la kutukana tusi zito na Naibu kafunga masikio wakati it was open and clear straight from Serukamba's mounth!!!
 
Kama viongozi wa Bunge ndio hawa, kweli nchi imeoza. Loooh!!! tanzania yangu, umeachwa mkiwa na Nyerere.

Hii ndiyo ile hali Nyerere aliyolalamikia kuwa 'siwezi kuiacha nchi yangu kwa Mbweha/mbwa mwitu...." shameful state of management and a dying state..

Ole wao CCM na serikali hii inayofilisika kifikra na kiutawala kila asubuhi ya Mungu...!
 
Mwenye macho haambiwi tazama. tunakoelekea siko kabisa. is it true kuwa waTZ kwa huu uwingi wetu hakuna wanaoweza kuwa pale bungeni na kutusaidia kuipeleka serikali tunakotaka? Is that role ya wabunge wetu? matusi, matusi, kashfa, kashfa na mambo mengine yasiyokuwa na tija kwa maslahi ya waTZ. where are going? Napo tumlaumu Mungu kweli?
 
Ukitaka kujua wameonewa. Mwangalie LUKUVI na mmunge aliye pembeni yake> wote wameinamisha vichwa chini kwa aibu ya maamuzi ya spika.

Wataalam wa fikra wanakuambia kuwa...'ukitata kumjua mwenye akili, mwulize swali la kwanza, akijibu vyema, mwulize la pili akijibu na la tatu, then mwulize tena lile swali la kwanza...akijibu vile vile, ujue kuwa ni monotonous, hateseki kufikiria zaidi au ana-cram hata swali likibadilika aweza kutoa jibu lile la awali...!

Mtaona wazi kuwa, Naibu Spika alijiandaa toka mapema kumtoa mbunge wa upinzani nje, then akina Lukuvi na Pinda akili zao hazina option maana IQ zao zipo monotonous, hawana option nyingine ya wazo, wamekariri kuwa adhabu ni favour kwao na kumsaidia Spika, na hata alipoongea Serukamba, wao wanaweza kusema hawakusikia maana akili zao zimekariri kuwa adhabu watapewa wapinzani...!

Tukumbuke kuwa Mh Msigwa (CDM-Iringa mjini) alishasema,..."Akili ndogo kamwe haziwezi kuongoza akili kubwa..na hakutakuwa na kusonga hata hatua moja mbele...ndio tunashuhudia sasa...! Poor judgement, poor ledership, poor output..ndio CCM na genge lake wanavyoipeleka nchi kuzimuni...
 
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Ndicho ninachokiona namna CCM na kita chao cha spika wanachokifanya.
 
Back
Top Bottom