Na heading iliandikwaje?Hebu kuweni waungwana kwani gazeti la mwananchi lilimnukuu Nassari akimtaja zitto?mbona ni hayo hayo mazungumzo ndo alinukuu mwandishi.
Zitto is very strategically ila kuna sehemu nyingine anakoroga hapo hamna uhusiano kabisa kati ya alichokisema Nassari na kilichoandikwa na gazeti la mwananchi.zitto tuliza nyago uraisi siyo kirahisi hivyo jipange sawasawa ushauri wangu tu huo.unatudanganya na kucheza na vichwa vyetu kama sisi wendawazimu watu sasa hivi wako makini na tuna taarifa zote.moja tu nalolikumbuka ni wewe kuita press conference na kutangaza kugombania ubunge wa kinondoni uchaguzi ukliopita then ukaaacha ukaenda kigoma mbona hukusema kama hutagombania tena.jipange urahisi una uwezo mkubwa tu ila usipende sana kutumia vya habari kujikuza,fanya kazi kama tunayoiona mbona ukifika wakati wa urahisi utapita tu kumbuka Tanzania ya mwaka 2010 siyo hii ya 2012.M4C
hao wa mikoa mingine unayosema ndio wamekutuma uwasemee? jisemee wewe na hisia zako za ubaguzi, unaposema atatoka tanzania tanzania inaundwaje kimaeneo? na hasa tukiwa tunaongea sisi kwa sisi nchini mwetu..uwezi sema atatoka tanzania wakati wewe ni mtanzania na unajua tanzania inaundwa na mikoa,wilaya,tarafa,kata na vijiji rais lazima atoke moja ya eneo la tanzania tena kwa jina la eneo, acha kishi kwa hisia tena zile potofu, all the time unahisi mabaya tu, kwanini usihisi kuwa wapo watanzania wengi tu watafuahi kam rais atatoka moja ya vijiji vya wilaya ya mkalamo, singida?
Rais wa tanzania lazima atatokea katika mkoa mmojawapo wa tanzania, na mkoa huo unaweza kuwa kigoma. Nassari hajakosea chochote hapo. Tena uzuri hakumtaja mtu na wala hakutaja mwaka specific ambao rais huyo atatokea kigoma. Wengine mna matatizo ya uelewa.Nassari naye inabidi ajifunze kuweka speed governor kwenye domo lake. Kwani rais akitokea Kigoma ndio inamaanisha nini kwa watu wa Kigoma.
Hatutaki Rais atakayekuwa anafavour sehemu aliyotoka. Nassari kama anadhani Rais akitoka Kigoma ni fahari kwa watu wa Kigoma anataka kuwaambia watu kuwa Rais akitoka Arusha yeye Nassari ndio atafurahi zaidi!
Huyu dogo janja hilo jina kalipata vipi, mbona maneno yake kila mara kama ziro fulani hivi.
Nassari naye inabidi ajifunze kuweka speed governor kwenye domo lake. Kwani rais akitokea Kigoma ndio inamaanisha nini kwa watu wa Kigoma.
Hatutaki Rais atakayekuwa anafavour sehemu aliyotoka. Nassari kama anadhani Rais akitoka Kigoma ni fahari kwa watu wa Kigoma anataka kuwaambia watu kuwa Rais akitoka Arusha yeye Nassari ndio atafurahi zaidi!
Huyu dogo janja hilo jina kalipata vipi, mbona maneno yake kila mara kama ziro fulani hivi.
watanzania wanajua si kweli ukisema tu "rais ajae atatoka katavi" basi ndio inakuwa hivyo.. upo ushindani na ikiwezekana wagombea watoke mikoa tofauti hata zaidi ya 10 ni sawa lakin at the end tunapata mmoja kwa kuwashindanisha uwezo on competence basis! kusema tu kwa kutaja eneo si kosa wala haina maana ndio itakuwa hivyo!Hata mie ni wa mkoa mwingine kwa hiyo nawakilisha kama Mtanzania. Naongea froma a rational point of view inayoweza kuangalia a few steps forward, sio kuwa caught up in the moment kama Nassari.
Hisia za ubaguzi kazianzisha huyo Nassari kwa kuanza kupendekeza rais kwa minajili ya mkoa, si uwezo.
Bottom line ni kwamba, huwezi kupinga kwamba kauli ya "Rais ajaye atatoka Kigoma" inazaa mtafaruku wa mikoa yote kuanza kufikiria kwamba "rais ajaye atoke mkoani kwetu" na kupoteza focus ya muhimu zaidi ya kwamba, rais ajaye awe na uwezo gani.
Kwa Nassari kujikita katika mazungumzo ya "rais ajaye atatoka mkoa gani" badala ya "rais ajaye atakuwa na uwezo gani" amejionyesha kuwa hajakomaa kisiasa, anapanda mbegu za utengano miongoni mwa waTanzania na anahitaji minders wa kumpangia nini cha kusema na kumkataza maneno mengine, kwa maana anaweza kuanzisha zogo kubwa sana kama kila mkoa utaanza kuingia katika ligi ya kutaka rais ajaye atoke mkoani humo.
Hata sheria ya Hifadhi ya Jamii nasikia kuna mkono wake...Alijua kinachoendelea ila akala mshiko ili atulie. Janga hiliHapa Zitto kachanwa live kwa kujikuza na kulichukuwa swala hili hadi kujitapa Bungeni badala ya kujadili bajeti.
Zitto jitokeze hapa; nakuuliza, bado unaliamini hilo gazeti lako zaidi kuliko alivyokana Mh. Nassar?
Hata hivyo, mbona tunaomjua, hili ni moja tu, yako mengi mabaya ambayo yameanzwa kuletwa hapa mfano Zitto anavyoshiriki kutaka kumrejesha Rostam na kundi lake waendelee kuua uchumi wetu na asasi zetu k.m TANESCO kwa kumrejesha Mhando ambaye ndiye alikuwa mtu wao pale.
Na hapo tunaambiwa Zitto kavuta fedha nyingi. Ni aibu kubwa sana kijana huyu ambaye ana uchu wa madaraka na utajiri. Mbona sijasikia mbinu chafu hizi toka kwa Rissu ambaye hakika yuko juu sana kuliko huyu jamaa anayevuna CHADEMA wakati analima CCM?
mimi nilidhani arumeru kuna umoja lakini kigoma ni noma.kwa style hii sito shangaa miaka mitano kumi au kuminatano akatokea kigoma. hajamtaja zito mwananchi walimkosea nasaryDuh! Zitto ain't got no beat.
acha hujuha point ni kumtaja zito(hajatajwa) unajuaje saa ingine alimaanisha kafulila je acheni uchonganishi nasary hakumuhusisha zito na uraisHahaha nasari sasa ulikana maneno yako ya nn? Ama kweli ukistaajabu ya mussa utaon ya firaauni
watanzania wanajua si kweli ukisema tu "rais ajae atatoka katavi" basi ndio inakuwa hivyo.. upo ushindani na ikiwezekana wagombea watoke mikoa tofauti hata zaidi ya 10 ni sawa lakin at the end tunapata mmoja kwa kuwashindanisha uwezo on competence basis! kusema tu kwa kutaja eneo si kosa wala haina maana ndio itakuwa hivyo!