Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari huko Kigoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari huko Kigoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Jul 26, 2012.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Sikiliza/Angalia:  Kwa hisani ya Hon. Zitto Kabwe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Duh! Zitto ain't got no beat.
   
 3. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yeh yeh yeh...uh uhwiiiii
  -----<<<<Isaiah 14:13 >>>------

  13"But you said in your heart,
  &#8216;I will ascend to heaven;
  I will raise my throne above the stars of God,
  And I will sit on the mount of assembly
  In the recesses of the north.

  14
  &#8216;I will ascend above the heights of the clouds;
  I will make myself like the Most High.
  '

  15
  "Nevertheless you will be thrust down to Sheol,
  To the recesses of the pit.


  16
  "Those who see you will gaze at you,
  They will ponder over you, saying,
  &#8216;Is this the man who made the earth tremble,
  Who shook kingdoms
  ,

  17
  Who made the world like a wilderness
  And overthrew its cities,
  Who did not allow his prisoners to go home?'

   
 4. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  So zitto what? Come here again
   
 5. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,696
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Hii mbona iko clear...

  Hamna sehemu aliyomtaja Zitto kuwa Rais zaidi ametaja hatoshangaa kuona rais wa Jamhuri wa miaka ijayo kutokea Kigoma. Kwani Kigoma yuko Zitto peke yake? Anaweza akawa Kafulila, Zitto au Eng Chiza.

  Sasa hapa ndio unaweza kuupata ukweli wa gazeti la Mwananchi uko wapi.
   
 6. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo wabunge wengi wa CHADEMA hawajitambui
   
 7. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sijaelewa, kosa la Nassari liko wapi?
   
 8. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Sasa nimeamini Zitto anawatumia waandishi wa habari.

  Kwani kwa hii clip, Nassari hakuwa specific kama ilivyotolewa na gazeti la Mwananchi pamoja na Zitto alivyowatetea waandishi wa habari.

  Hakika Zitto ni janga la kuvuruga na kuchelewesha ukombozi wa nchi.
   
 9. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mambo ya kujimegea na kujiona bora, juu zaidi ya wengine na kitu kingine chochote kile...U-MIMI!

  Na kwa nini basi isiwe Nasari alimaanisha Mwasiti-Mratibu wa Tamasha lililofana na awe Zitto??!
   
 10. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  vp mbona there no relationship btn zito,mwananch na cdm!!
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Zittoooooooooooooooooooo

  Utatakuwa janga la kitaifa; Kwa design hii wewe ndo unachelewesha ukombozi huna tofauti na mkoloni mweusi (CCM)
   
 12. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,696
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Nashauri wakati mtu unasikiliza hii video..uwe umefungua na gazeti la Mwanachi ujaribu kulink na zile quotations walizoweka kuhusu huyu Mbunge..otherwise ninaanza kuamini magazeti yetu yanaanza kutumika vibaya..
   
 13. WOWOWO

  WOWOWO JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  How come you make an argument undefended? Re think.
   
 14. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Nassari alichokisema ndani ya miaka 5 ,10 au 15 Rais anaweza toka kigoma je 2015 kuna miaka inayoingia hapo? Zitto kwanini anakuza hili?

  Nassari alichosema ni ummoja walionao wana kigoma unaweza pelekea kupata Rais . Je Zitto ndio mtu pekee anasifa za kuwa rais kwa Wanakigoma wote? Mi nashangaa hata Twitter na facebook anaendeleza kuwa alichokisema Nassari.

  Mbona yanayosemwa ni tofauti na yaliyosemwa na Nassari? Tunaona, tunaweza kusoma hata hata kusikia kwanini tunadanganywa na kuchanganywa juu ya hili? Hata mtu asiyeelewa ni wazi haya yapo wazi
   
 15. s

  sirghanam JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Gazeti la Mwananchi linatakiwa kuomba radhi..

  Nassari alikuwa clear.. Kasema Kigoma kuna vipaji vingi kuanzia kucheza mpira, wasanii mpaka wanasiasa. Hatashangaa kuona Kigoma ikitoa raisi... KIGOMA... Na hakusema KIGOMA kaskazini.....

  AU kigoma mwanasiasa ni ZITTO peke yake...?
   
 16. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mlitegemea mtasikia tofauti na akina nassari?.......zitto janga la taifa sijui nani anamdanganya wkt sisi tunajua yeye ni 30% cdm na 70% ccm?
   
 17. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  kwani tatizo ni nini wajameni?
   
 18. George Kahangwa

  George Kahangwa Verified User

  #18
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 539
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  This is what the young Mheshimiwa said. Why did he deny it? Perhaps he wanted to be quoted word to word!
   
 19. j

  jackson kanene Member

  #19
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu kuweni waungwana kwani gazeti la mwananchi lilimnukuu Nassari akimtaja zitto?mbona ni hayo hayo mazungumzo ndo alinukuu mwandishi.
   
 20. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,918
  Likes Received: 12,137
  Trophy Points: 280
  Ukweli husemwa:

  Ilisemwa usihukumu kabla hujahukumiwa.

  Haya sasa, hizo ndizo siasa ya Tanzania. Hata wanasiasa vijana tuliwategemea kuwa wakweli, wenye muono na wanasimamia wanachokisema kwa hili wametufundisha somo nzuri na la msingi.
   
Loading...