Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari huko Kigoma

Zitto is very strategically ila kuna sehemu nyingine anakoroga hapo hamna uhusiano kabisa kati ya alichokisema Nassari na kilichoandikwa na gazeti la mwananchi.zitto tuliza nyago uraisi siyo kirahisi hivyo jipange sawasawa ushauri wangu tu huo.unatudanganya na kucheza na vichwa vyetu kama sisi wendawazimu watu sasa hivi wako makini na tuna taarifa zote.moja tu nalolikumbuka ni wewe kuita press conference na kutangaza kugombania ubunge wa kinondoni uchaguzi ukliopita then ukaaacha ukaenda kigoma mbona hukusema kama hutagombania tena.jipange urahisi una uwezo mkubwa tu ila usipende sana kutumia vya habari kujikuza,fanya kazi kama tunayoiona mbona ukifika wakati wa urahisi utapita tu kumbuka Tanzania ya mwaka 2010 siyo hii ya 2012.M4C

Zitto wa 2005-2010 ni tofauti kabisa na Zitto wa 2010-2015. alisema pia Geita Sita akamshauri arudi kigoma
 
hao wa mikoa mingine unayosema ndio wamekutuma uwasemee? jisemee wewe na hisia zako za ubaguzi, unaposema atatoka tanzania tanzania inaundwaje kimaeneo? na hasa tukiwa tunaongea sisi kwa sisi nchini mwetu..uwezi sema atatoka tanzania wakati wewe ni mtanzania na unajua tanzania inaundwa na mikoa,wilaya,tarafa,kata na vijiji rais lazima atoke moja ya eneo la tanzania tena kwa jina la eneo, acha kishi kwa hisia tena zile potofu, all the time unahisi mabaya tu, kwanini usihisi kuwa wapo watanzania wengi tu watafuahi kam rais atatoka moja ya vijiji vya wilaya ya mkalamo, singida?

Hata mie ni wa mkoa mwingine kwa hiyo nawakilisha kama Mtanzania. Naongea froma a rational point of view inayoweza kuangalia a few steps forward, sio kuwa caught up in the moment kama Nassari.

Hisia za ubaguzi kazianzisha huyo Nassari kwa kuanza kupendekeza rais kwa minajili ya mkoa, si uwezo.

Bottom line ni kwamba, huwezi kupinga kwamba kauli ya "Rais ajaye atatoka Kigoma" inazaa mtafaruku wa mikoa yote kuanza kufikiria kwamba "rais ajaye atoke mkoani kwetu" na kupoteza focus ya muhimu zaidi ya kwamba, rais ajaye awe na uwezo gani.

Kwa Nassari kujikita katika mazungumzo ya "rais ajaye atatoka mkoa gani" badala ya "rais ajaye atakuwa na uwezo gani" amejionyesha kuwa hajakomaa kisiasa, anapanda mbegu za utengano miongoni mwa waTanzania na anahitaji minders wa kumpangia nini cha kusema na kumkataza maneno mengine, kwa maana anaweza kuanzisha zogo kubwa sana kama kila mkoa utaanza kuingia katika ligi ya kutaka rais ajaye atoke mkoani humo.
 
Hapa Zitto kachanwa live kwa kujikuza na kulichukuwa swala hili hadi kujitapa Bungeni badala ya kujadili bajeti.

Zitto jitokeze hapa; nakuuliza, bado unaliamini hilo gazeti lako zaidi kuliko alivyokana Mh. Nassar?

Hata hivyo, mbona tunaomjua, hili ni moja tu, yako mengi mabaya ambayo yameanzwa kuletwa hapa mfano Zitto anavyoshiriki kutaka kumrejesha Rostam na kundi lake waendelee kuua uchumi wetu na asasi zetu k.m TANESCO kwa kumrejesha Mhando ambaye ndiye alikuwa mtu wao pale.

Na hapo tunaambiwa Zitto kavuta fedha nyingi. Ni aibu kubwa sana kijana huyu ambaye ana uchu wa madaraka na utajiri. Mbona sijasikia mbinu chafu hizi toka kwa Rissu ambaye hakika yuko juu sana kuliko huyu jamaa anayevuna CHADEMA wakati analima CCM?
 
Nassari naye inabidi ajifunze kuweka speed governor kwenye domo lake. Kwani rais akitokea Kigoma ndio inamaanisha nini kwa watu wa Kigoma.

Hatutaki Rais atakayekuwa anafavour sehemu aliyotoka. Nassari kama anadhani Rais akitoka Kigoma ni fahari kwa watu wa Kigoma anataka kuwaambia watu kuwa Rais akitoka Arusha yeye Nassari ndio atafurahi zaidi!

Huyu dogo janja hilo jina kalipata vipi, mbona maneno yake kila mara kama ziro fulani hivi.
Rais wa tanzania lazima atatokea katika mkoa mmojawapo wa tanzania, na mkoa huo unaweza kuwa kigoma. Nassari hajakosea chochote hapo. Tena uzuri hakumtaja mtu na wala hakutaja mwaka specific ambao rais huyo atatokea kigoma. Wengine mna matatizo ya uelewa.
 
Ama kweli Mh. Zitto umechemsha wala sikufichi. Hivi unafikiri Kigoma mwanasiasa ni wewe peke yako? Usiwapake wenzako matope tena umejichomeka mwenye kwenye umbea wa hili sakata la kutaka kutuaminisha kuwa wamekutabiria nasema BIG NOOOOOO! nimeisikiliza hiyo clip na nimeidownload kwenye laptop yangu nitatembea nayo kuwaonesha watu ni jinsi gani ulivyo mchonganishi na hata wanaokuunga mkono hawapo hivyo kama unavyofikili. Kwanza elewa kwa upeo wako huwezi kuwa Rais wa wanyonge utakuwa Rais wa Mafisadi kama alivyo jamaa yako Kikwete. Kumbuka nayeye alianza chokochoko miaka kadhaa wakati wa Uongozi wa mzee Ruksa huku akipanga safu yake kama wewe (Zitto) na Kafurila mnavyopanga safu yenu ya uongozi......... Dogo umeshindwa kuwahamasisha watu kwa utendaji wako ndani ya Chama na sasa unataka kutumia Media ili ikuaminishe kwa umma. Mimi ninajua wanaokuback-date katika kukupa hizo iformation na ndiyo wanataka ulinde maslahi yao............. Sinema yako inafanana na ya KOVA imeshtukiwa rudi studio karekodi upya...
 
Nassari naye inabidi ajifunze kuweka speed governor kwenye domo lake. Kwani rais akitokea Kigoma ndio inamaanisha nini kwa watu wa Kigoma.

Hatutaki Rais atakayekuwa anafavour sehemu aliyotoka. Nassari kama anadhani Rais akitoka Kigoma ni fahari kwa watu wa Kigoma anataka kuwaambia watu kuwa Rais akitoka Arusha yeye Nassari ndio atafurahi zaidi!

Huyu dogo janja hilo jina kalipata vipi, mbona maneno yake kila mara kama ziro fulani hivi.

Ushaona mkuu?

Yaani hii kauli haiko mbali na ukabila, undugunaizesheni na nepotism.

Halafu haijajikita katika big picture politics.

Huyu Nassari nilitegemea ataongea vitu vya kufungua macho watu wa Kigoma, kumbe ana wa flatter kwa kuwapa hadithi nzuri zenye sumu ya regionalism?

Tuambie rais ajaye ana sifa gani za kuwa rais, tuambie ana uwezo gani, si atatoka kijiji gani.

Kama upinzani wenyewe ndio huu safari yetu ndeeefu sana bado.

Hivi kuna mtu amefuatilia hili suala la regionalism lilivyowateletea matatizo Nigeria huko? Ndiko mnataka tuelekee?
 
Zitto ni janga katika ukombozi wa Taifa hili. Kama ni lazima kumchagua huyu bwana 2015 ni afadhali CCM ya Lowassa
 
Hata mie ni wa mkoa mwingine kwa hiyo nawakilisha kama Mtanzania. Naongea froma a rational point of view inayoweza kuangalia a few steps forward, sio kuwa caught up in the moment kama Nassari.

Hisia za ubaguzi kazianzisha huyo Nassari kwa kuanza kupendekeza rais kwa minajili ya mkoa, si uwezo.

Bottom line ni kwamba, huwezi kupinga kwamba kauli ya "Rais ajaye atatoka Kigoma" inazaa mtafaruku wa mikoa yote kuanza kufikiria kwamba "rais ajaye atoke mkoani kwetu" na kupoteza focus ya muhimu zaidi ya kwamba, rais ajaye awe na uwezo gani.

Kwa Nassari kujikita katika mazungumzo ya "rais ajaye atatoka mkoa gani" badala ya "rais ajaye atakuwa na uwezo gani" amejionyesha kuwa hajakomaa kisiasa, anapanda mbegu za utengano miongoni mwa waTanzania na anahitaji minders wa kumpangia nini cha kusema na kumkataza maneno mengine, kwa maana anaweza kuanzisha zogo kubwa sana kama kila mkoa utaanza kuingia katika ligi ya kutaka rais ajaye atoke mkoani humo.
watanzania wanajua si kweli ukisema tu "rais ajae atatoka katavi" basi ndio inakuwa hivyo.. upo ushindani na ikiwezekana wagombea watoke mikoa tofauti hata zaidi ya 10 ni sawa lakin at the end tunapata mmoja kwa kuwashindanisha uwezo on competence basis! kusema tu kwa kutaja eneo si kosa wala haina maana ndio itakuwa hivyo!
 
Hapa Zitto kachanwa live kwa kujikuza na kulichukuwa swala hili hadi kujitapa Bungeni badala ya kujadili bajeti.

Zitto jitokeze hapa; nakuuliza, bado unaliamini hilo gazeti lako zaidi kuliko alivyokana Mh. Nassar?

Hata hivyo, mbona tunaomjua, hili ni moja tu, yako mengi mabaya ambayo yameanzwa kuletwa hapa mfano Zitto anavyoshiriki kutaka kumrejesha Rostam na kundi lake waendelee kuua uchumi wetu na asasi zetu k.m TANESCO kwa kumrejesha Mhando ambaye ndiye alikuwa mtu wao pale.

Na hapo tunaambiwa Zitto kavuta fedha nyingi. Ni aibu kubwa sana kijana huyu ambaye ana uchu wa madaraka na utajiri. Mbona sijasikia mbinu chafu hizi toka kwa Rissu ambaye hakika yuko juu sana kuliko huyu jamaa anayevuna CHADEMA wakati analima CCM?
Hata sheria ya Hifadhi ya Jamii nasikia kuna mkono wake...Alijua kinachoendelea ila akala mshiko ili atulie. Janga hili
 
Hahaha nasari sasa ulikana maneno yako ya nn? Ama kweli ukistaajabu ya mussa utaon ya firaauni
 
Guyz,

I'm trying to summary Zitto's strategic plan for his announced presidential contest as follows:

  1. (Mpango NCCR-Mageuzi+Turbo Energy 7000 )*0.00 results?!! Fill yourself!
  2. Register new party CHAMA CHA UMMA and pack it for plan C
  3. Take youth hostage through social campaigns but avoid premature discovery of the plan by strategically beginning with homeboys under a campaign tagged "apolitical" (Leka Dutigite)!
  4. Hook-up Youths MPs from all parties and take their consent blindly to fall into the trap of endorsing you publicly. Use reputable media houses to twist their words! (The blunder happens here. The blackmailer comes-out to defend the suspect -Mwananchi on the matter he declared to have no authority and he did not coordinate. Mind also the blackmailer has not been alleged by those seeking remedies)

Had the blunder not happened, I guess the next move would be to:

  1. Work-on waging a big movement in the art industry under the banner of national launching of "Leka Dutigite Video"!
 
Magwanda kwisha kazi yaooooo.....malumbano yameanza subiri uone kitakachotokea....
 
ZITO MNAAAAAAAAAAAAAAAAAAAFIKI.. MWANANCHI WAOOOOOOOOOOOOOOOONGO. HAKUNA MAHALI NASSARI AMESEMA

‘Leo, ni mara yangu ya kwanza kufika Kigoma, lakini kwa jinsi ninavyoona mpangilio mzuri wa shughuli hii, naamini kabisa kuwa, Zitto Kabwe aliyeandaa hafla hii na kuwakusanya wasanii wa Kigoma kuwa kitu kimoja anafaa kabisa kuwa rais ajaye wa Taifa letu. Na haya ninayasema kwa uhakika bila hata chembe ya mzaha," alisema Nasari.

Hahaha nasari sasa ulikana maneno yako ya nn? Ama kweli ukistaajabu ya mussa utaon ya firaauni
acha hujuha point ni kumtaja zito(hajatajwa) unajuaje saa ingine alimaanisha kafulila je acheni uchonganishi nasary hakumuhusisha zito na urais
 
huyu Nassar naye aache kuropoka, kwani rais anapatikana kwa vigezo vya mikoa au kanda au kabila... Huyu dogo inabidi atulie kwanza kwa siasa za majukwaani.!
 
watanzania wanajua si kweli ukisema tu "rais ajae atatoka katavi" basi ndio inakuwa hivyo.. upo ushindani na ikiwezekana wagombea watoke mikoa tofauti hata zaidi ya 10 ni sawa lakin at the end tunapata mmoja kwa kuwashindanisha uwezo on competence basis! kusema tu kwa kutaja eneo si kosa wala haina maana ndio itakuwa hivyo!

You miss the entire point.

Ushasema kwamba competence ndiyo basis, sasa kupoteza muda kwa kuangalia mikoa kutatupeleka wapi zaidi ya kupanda mbegu ya mgawanyiko baina ya Watanzania?

Na kama unajua kwamba competence ndiyo basis kwa nini uanze kuangalia mikoa? Jambo ambalo liko riddled with landmines za mitafaruku isiyo ya lazima?

Umesoma jinsi Goodluck Jonathan alivyopata matatizo kutaka kuwa rais Nigeria baada ya Yar'Adua kufariki? Kwamba waNigeria wana upuuzi huu wa "rais akitoka kaskazini na muislam, afuatiwe na wa kusini mikristo? Umeona controversy ya nomination kwa sababu rais wa kaskazini muislamu hakumaliza term yake waislam wa kaskazini wakataka kugoma Goodluck Jonathan asigombee urais, kwa sababu hawajamaliza zamu yao?

Ndiko mnataka tuelekee huko?

Leo mnasema "rais ajaye atatoka Kigoma" kesho "rais ajaye atakuwa mkristo" hatimaye vita ya kidini mnaialika pole pole hivi hivi.

Ndivyo tunavyotaka hivyo?

Kwa nini tusiongelee rais kwa minajili ya uwezo na kuacha longolongo za dini, kabila na mikoa?
 
Kwani mtu kujitangaza kutaka kugombea uraisi ndio keshakuwa raisi....? Mbona mnakuza mambo madogo namna hii maana naona sasa imekuwa nongwa..................!
 
Back
Top Bottom