Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari huko Kigoma

Kwa sasa naanza kuwa na mawazo kuwa hata hizi propandaza kuwa Chadema ni chama cha ukabila,udini na ukanda ni mkakati unaofadhiliwa na Zitto ili kuisambaratisha Chadema ili akimaliza kazi hiyo aende CCM alikoahidiwa urais na baba mkwe wake baba Mwana asha.Ndoto yake ni kuwa rais kupitia CCM.
 
Walichokiandika mwananchi ndicho hiki alichokisema Nassary,sasa nassary alikuwa anakanusha nini?mwananchi ni bonge la gazeti.Hongera zitto kwa kutuletea video.
 
Muda ukifika umefika,hakuna wa kuzuiya.Na bwana akisema amesema hakuna wakupingana naye,akisema Zitto ndiye ndiye atakaye kuwa raisi na akisema siye basi siye tusubirie 2015

Bwana gani? nyie ndo mlio tufelisha eti kikwete ni chaguo la mungu!!
 
Maneno yanayotafsiriwa hapo ya Mh Nasari ni: "...kwa stahili hii sitashangaa miaka 5, 10 au 15 ijayo rais wa jamhuri hii akitokea kigoma...."

Nina mitazamo miwili

1. Kwanza namtetea Nasari.. Mbunge huyu alitoa maoni yake tu kwa jinsi alivo ona hali ilivokuwa hapo uwanjani siku hiyo... na kusema ukweli kumtendea haki hakumtaja Zito kuwa hatashangaa kuona miaka 5, 10 au 15 ijayo rais wa jamhuri akitokea kigoma na kuwa ni Zito.... hapo watu wameunganisha tu matukio na opinions za watu na wakati mbali mbali..of which saa nyingine ni sawa

2. Namlaumu pia Nasari - kuwa namwona akiwa jukwaani hasa akiona umati wa watu anakosa uwezo wa kuchuja maneno muafaka yanayostahili wapi na kwa nini aseme hivo... hajui kuwa kila mahali kuna siasa na watu wanatumia kila neno kisiasa na hata kulazimisha tafsiri ya maneno yake. Mfano kusema sitashangaa kuona miaka 5, 10 au 15 ijayo rais wa nchi hii akitokea Kigoma hii ilikuwa ni kosa hata kama alikuwa na nia nzuri. So hata baadae akikanusha bado wenzake hiyo ni point tu ktk siasa

Nasari (na wengine pia), anahitaji kujua anasema nini why, na wapi...ni muhimu sana kujua kuchuja maneno kabla hayaja toka kinywani.. Nasari sasa ni public figure ule utoto wa zamani lazima tu auache

Nilikuwepo pia NMC Arusha ilimcost sana kukanusha what he meant..sasa laziama tu abadilike hana jinsi

Kwa kaka yangu Zito na Chadema... why hili jambo la Urais ndani ya chadema mnaliweka kama vile ni vita fulani kati yenu... Zito ni kiongozi wa juu kabisa ktk chama inamaana hamliongelei ktk vikao vyenu hadi iwe issue kwenye mitandao, bungeni, mikutanoni...hamna 5,yrs, 10 yrs, 15yrs, 20 yrs, etc Strategic Plans ya chama chenu...ambayo hata issue ya who will be a president contestant for cdm haiwezi kuwa issue hivo kama ilivo sasa...

No I trust Zito, Mbowe, Slaa, Lisu, Prof. Safari, Marando, Prof. Balegu, Mnyika...nk hawashidwi to contain it and finish it within your inner meetings..

Na nyie wabunge wa cdm angalieni mnaposhindwa kuonyesha kuwa ni wamoja ni hatari kwenu binafsi na kwa chadema pia. Binafsi nimefurahia tukio la huko Kigoma by Zito but nimekerwa sana na what followed after the occasion ni malumbano yasiyo na tija kwa cdm, wabunge wenyewe, wapenzi wa cdm, na hata wanachi wengine tunaoona mbali

Umesema youte mkuu, asante sana.
 
WanaJF,
tukubaliane na Kumtangaze Rasmi kuwa ZITTO KABWE ni JANGA LA TAIFA, kwa sabau sione tofauti yake na Kina Mwigulu, Ndungai.... kwani wamekuwa waongo na mabingwa wa kuhadaa umma kuwa wapo sahihi, Zitto jana jana humu mpaka misuli imemsimama...

Great thinker ZITTO ni Jangwa la Taifa.
 
Gazeti limeandika hivi:
"Leo, ni mara yangu ya kwanza kufika Kigoma, lakini kwa jinsi ninavyoona mpangilio mzuri wa shughuli hii, naamini kabisa kuwa, Zitto Kabwe aliyeandaa hafla hii na kuwakusanya wasanii wa Kigoma kuwa kitu kimoja anafaa kabisa kuwa rais ajaye wa Taifa letu. Na haya ninayasema kwa uhakika bila hata chembe ya mzaha," alisema Nasari.

Je hayo ndiyo aliyosema Nassari kwenye video ile?
 
Walichokiandika mwananchi ndicho hiki alichokisema Nassary,sasa nassary alikuwa anakanusha nini?mwananchi ni bonge la gazeti.Hongera zitto kwa kutuletea video.

Hiyo clip umeisikiliza? au hauna kifurushi kinachokuwezesha kufungua youtube umeamua kuchangia kufuata hisia zako?
 
Uanagenzi.

Kitendo cha kuanza ku tout "rais wa Tanzania atatoka Kigoma" tayari ni kupanda mbegu ya mgawanyiko, regionalism.

Wa Tanga tukisikia hivyo hata kama hatukuwa na mawazo kama hayo tutaanza kufikiri "Eboo, kweli ee? Sisi wa Tanga hatujawahi kutoa rais Tanzania hivoo?". Tayari mgongano usio na haja.

Huyu ndiye yule dogo anayesemwa alitaka kuikata sehemu ya kaskazini Tanzania iwe nchi mpya? Maana kama ni hivyo inaonekana ana ki element cha kuibagua nchi kwa mikoa kwenye DNA inawezekana.

Kwa nini kiongozi yeyote aliyekomaa kupanda mbegu hii ambayo zao lake ni utata kama si sumu? Hivi hawa watu wanajiandaa nini watasema wanapokwenda mbele ya watu? Au wanangojea kupata mzuka hapo hapo tu?

Rais wa Tanzania anatoka Tanzania, and that's what matters, huko kwingine tutaangalia uwezo, sio mkoa.

Hapa labda aniambie alikuwa anafanya show ya siasa rejareja na propaganda za ku connect na wananchi kwa kutumia least common denominator, sawasawa na walivyokuwa wana dansi pale.

Lakini ukitafuta kauli iliyokomaa kisiasa haipo.
 
Wapi Legacy ya huyu jamaa? Mwananchi unaenda waPI??

Tido.JPG
 
kahangwa the little mp was not specific as what reported on the mwananchi.
Thanks, I'd to go back and see what Mwananchi wrote, you are right. But we are also told that the speech he gave was drafted at Sinza (before they left for leka dutigite)
 
Kwa sasa naanza kuwa na mawazo kuwa hata hizi propandaza kuwa Chadema ni chama cha ukabila,udini na ukanda ni mkakati unaofadhiliwa na Zitto ili kuisambaratisha Chadema ili akimaliza kazi hiyo aende CCM alikoahidiwa urais na baba mkwe wake baba Mwana asha.Ndoto yake ni kuwa rais kupitia CCM.

Acha unafiki wewe,kwa mtu aliyenda shule hata darasa la nne anajua hapo Nassary alikuwa anamaanisha nini, gazeti la mwananchi limeandika alichokisema nassary
 
Yaani hapa Zito anaendelea kujiharibia..Bora angebakia na video yake kuliko alivyoileta hapa..Sasa nimeanza kuamini polepole watu wanapokuwa wanamponda Zito kumbe kunaukweli wakati mwingine..Yaani anajua ukitaja Kigoma tu umemtaja yeye..wakati kuna hadi wangine ni Mawaziri tena vichwa kuliko yeye wanatokea Kigoma..
 
Kwanamna flani zitto kaukata mziziiiiiiiiiiiiiiiiii.kwa wanaotumia simu; kasema

Nassari;kwa namna hii sitashangaa miaka 5,10 au 15 Rais wa Jamuhuri hii akatokea Kigoma.

my take.
mbona mh.zitto anaonekana akisema ''wahu'' kabla ya mh.Nassari kutamka ''rais wa jamhuri hii akatokea Kigoma''?.
 
Maneno yanayotafsiriwa hapo ya Mh Nasari ni: "...kwa stahili hii sitashangaa miaka 5, 10 au 15 ijayo rais wa jamhuri hii akitokea kigoma...."

Nina mitazamo miwili

1. Kwanza namtetea Nasari.. Mbunge huyu alitoa maoni yake tu kwa jinsi alivo ona hali ilivokuwa hapo uwanjani siku hiyo... na kusema ukweli kumtendea haki hakumtaja Zito kuwa hatashangaa kuona miaka 5, 10 au 15 ijayo rais wa jamhuri akitokea kigoma na kuwa ni Zito.... hapo watu wameunganisha tu matukio na opinions za watu na wakati mbali mbali..of which saa nyingine ni sawa

2. Namlaumu pia Nasari - kuwa namwona akiwa jukwaani hasa akiona umati wa watu anakosa uwezo wa kuchuja maneno muafaka yanayostahili wapi na kwa nini aseme hivo... hajui kuwa kila mahali kuna siasa na watu wanatumia kila neno kisiasa na hata kulazimisha tafsiri ya maneno yake. Mfano kusema sitashangaa kuona miaka 5, 10 au 15 ijayo rais wa nchi hii akitokea Kigoma hii ilikuwa ni kosa hata kama alikuwa na nia nzuri. So hata baadae akikanusha bado wenzake hiyo ni point tu ktk siasa

Nasari (na wengine pia), anahitaji kujua anasema nini why, na wapi...ni muhimu sana kujua kuchuja maneno kabla hayaja toka kinywani.. Nasari sasa ni public figure ule utoto wa zamani lazima tu auache

Nilikuwepo pia NMC Arusha ilimcost sana kukanusha what he meant..sasa laziama tu abadilike hana jinsi

Kwa kaka yangu Zito na Chadema... why hili jambo la Urais ndani ya chadema mnaliweka kama vile ni vita fulani kati yenu... Zito ni kiongozi wa juu kabisa ktk chama inamaana hamliongelei ktk vikao vyenu hadi iwe issue kwenye mitandao, bungeni, mikutanoni...hamna 5,yrs, 10 yrs, 15yrs, 20 yrs, etc Strategic Plans ya chama chenu...ambayo hata issue ya who will be a president contestant for cdm haiwezi kuwa issue hivo kama ilivo sasa...

No I trust Zito, Mbowe, Slaa, Lisu, Prof. Safari, Marando, Prof. Balegu, Mnyika...nk hawashidwi to contain it and finish it within your inner meetings..

Na nyie wabunge wa cdm angalieni mnaposhindwa kuonyesha kuwa ni wamoja ni hatari kwenu binafsi na kwa chadema pia. Binafsi nimefurahia tukio la huko Kigoma by Zito but nimekerwa sana na what followed after the occasion ni malumbano yasiyo na tija kwa cdm, wabunge wenyewe, wapenzi wa cdm, na hata wanachi wengine tunaoona mbali

ccm na mwananchi ni wapumbbavu, kinachowasumbua ni hiyo crowd!then wanawacorrupt mwananchi wapotoshe makusudi kuconfuse watu, na bht mbaya watz ni narrow minded ndiyo inkuwa ajenda na gumzo! Nassari, Mdee na Zitto hakuna aliyetaja jina la Rais na wala kuongelea urais wakat Zitto akiwepo haina maana Zitto anakampeni urais, ccm ni wapumbbavu kazi kuweweseka na positions tu na lengo lao ni kuambukiza huu ugonjwa wa madaraka kwa CDM, wanapoteza muda, cjui kwa nini hawawezi kutumia akili ndogo waliyobaki nayo kupanga wanamalizaje uongozi wao 2015 kuwaletea watz maendeleo, maongezi yao yamebaki kuongelea matukio na watu! tabia za kimalaya hizo!
 
Hebu kuweni waungwana kwani gazeti la mwananchi lilimnukuu Nassari akimtaja zitto?mbona ni hayo hayo mazungumzo ndo alinukuu mwandishi.

sehemu ya kichwa cha habari kilisema "MDEE, NASSARI WAMSAFISHIA NJIA ZITTO URAIS 2015" haya unasemaje na wewe!
 
Ok walau tumeujua ukweli, but hakukuwa na chance ya script kuchakachuliwa? Sababu hizi electronics nazo ni noma....
 
Back
Top Bottom