Video: Chopper ya CHAUMMA ikizomewa Mwanza

Video: Chopper ya CHAUMMA ikizomewa Mwanza

Ni kosa kisheria kuzuia shughuli halali za Kiuchumi , Kijamii na Kisiasa...

Wakianza kupata matatizo mtarudi hapa kulia lia na wakati huo huo mawakili wanataka fedha
 
Chadema wanakusanya magenge yao kuhangaika na chaumma, chaumma ni mpango wa Mungu
 
Chadema wanataka wao tu waruke na chopa,hicho chama kina wafuasi wajinga sana
 
Chadema wanakusanya magenge yao kuhangaika na chaumma, chaumma ni mpango wa Mungu
Mungu yupi labda? Kama ni huyu MUNGU aliyeumba mbingu na nchi, basi acha kumkufuru. Kama ni mungu mwingine unayemjua,wewe basi sawa. Maana imeandikwa " msidanganyike, MUNGU hadhihakiwi..... Wag: 6:7
 
Ndiomaana mnapigwa kila wakati kwa ujinga wenu
Ujinga ni kutojua hata kazi za jeshi la polisi! Ukisoma kwenye JD za polisi kupiga raia ni moja ya kazi zao?
Wizi wa mitihani umekuathir sana wewe. Hata hilo hujui ati nawe ni chawa wa ccm? Balaa hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom