Video: Chenja

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,552
Reaction score
29,397
Hivi nyimbo za mchaka mchaka za jeshi kwa nini zinakuwaga na matusi sana.[emoji26][emoji26]
Vipi hizi nyimbo na zile za wasimamisha nguzo wa tanesco je!ni zipi zinaamsha amsha?? [emoji23][emoji23]
Your browser is not able to display this video.
 
Maagano ya kishetani na kuto kuamini uwepo wa Mungu
 
Mbona hawajaimba matusi.
Ukitafsiri matusi hilo ni tatizo lako sio wao.
 
Asikudanganye mtu, TANESCO wasimamisha nguzo ni mwisho wa matatizo.

Wale jamaa wa TANESCO matusi yao ya wazi.

Afadhali hawa Wajeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…