VIDEO: Cheki hii marriage proposal watu walivyojipanga kusuprise

Nukta5

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,182
1,282
Hebu tuangalie hii marriage proposal tuone kama hapa kwetu inawezekana

Hao ni wazungu, sisi ni waafrika; Hizi ni complications kwetu sisi, hazina tija; Huo ni mtazamo wangu.
 
ha haha halafu analia eti wakati alikuwa anajua ... hapo tu ndiyo napo ona maigizo yameanza
Teh teh teh! Hapo kwenye kulia hata mimi huwa nashangaa, lakini nafikiria inatokana na furaha au kutokuamini kabla kama kweli itatokea hivyo. Nimeona hata siku ya ndoa watu wakilia ... Ni hisia za furaha tu, kwamba kumbe ni kweli imetokea.

Ila hizo za wazungu unaweza ku copy ukaishia kuwa disappointed!
 
ha hahaha hamna kitu kama hicho yani ujiandae miezi na sare ushone uje kuvalishwa pete ya uchumba nilie siwezi kulia
 
Teh! Itabidi tufanye utafiti kwa wadada walioolewa ama kuchumbiwa, tuwaulize kwa nini huwa wanalia wakati walikuwa pre informed! Tutapata conclusion nzuri & hata ku publish paper.
 
Tabu yote ya nini hiyo, sisi kwetu unamwambia tu, sasa nakuwowa, kisha unawaambia wazee wapeleke posa nyumbani kwao.
 
Proposal ya kwanza Lodge... Tena unaanza kuulizwa wewe mwanaume, hivi utanioa kweli... Unajibu ngoja tumalize kwanza acha maswali... Unaulizwa tena mwanaume... unanipenda kweli, ndiyo... Unajibu kaa vizuri kwanza... linpigwa gemu takatifu. Mkimaliza hapo, hamkumbuki hata mlikuja kufanya nini, kila mmoja anatafuta nguo zake, mlango wa kutokea upo wapi, unaangalia kushoto kulia usije ukagongana sura na mtu unayemjua... haooo...
 
Au anakuwa anaona pete inavalishwa anauliza....oooohhh...baby what is this?

Akifungua macho anasema waoooooh.....na machozi juu...full maigizo

ha hahaha ndiyo maana inabidi waigize mpaka mwisho
 
Proposal ya kwanza Lodge... Tena unaanza kuulizwa wewe mwanaume, hivi utanioa kweli... Unajibu ngoja tumalize kwanza acha maswali... Unaulizwa tena mwanaume... unanipenda kweli, ndiyo... Unajibu kaa vizuri kwanza... linpigwa gemu takatifu. Mkimaliza hapo, hamkumbuki hata mlikuja kufanya nini, kila mmoja anatafuta nguo zake, mlango wa kutokea upo wapi, unaangalia kushoto kulia usije ukagongana sura na mtu unayemjua... haooo...
Proposal ya kwanza Lodge... Tena unaanza kuulizwa wewe mwanaume, hivi utanioa kweli... Unajibu ngoja tumalize kwanza acha maswali... Unaulizwa tena mwanaume... unanipenda kweli, ndiyo... Unajibu kaa vizuri kwanza... linpigwa gemu takatifu. Mkimaliza hapo, hamkumbuki hata mlikuja kufanya nini, kila mmoja anatafuta nguo zake, mlango wa kutokea upo wapi, unaangalia kushoto kulia usije ukagongana sura na mtu unayemjua... haooo...
Proposal ya kwanza Lodge... Tena unaanza kuulizwa wewe mwanaume, hivi utanioa kweli... Unajibu ngoja tumalize kwanza acha maswali... Unaulizwa tena mwanaume... unanipenda kweli, ndiyo... Unajibu kaa vizuri kwanza... linpigwa gemu takatifu. Mkimaliza hapo, hamkumbuki hata mlikuja kufanya nini, kila mmoja anatafuta nguo zake, mlango wa kutokea upo wapi, unaangalia kushoto kulia usije ukagongana sura na mtu unayemjua... haooo...
Proposal ya kwanza Lodge... Tena unaanza kuulizwa wewe mwanaume, hivi utanioa kweli... Unajibu ngoja tumalize kwanza acha maswali... Unaulizwa tena mwanaume... unanipenda kweli, ndiyo... Unajibu kaa vizuri kwanza... linpigwa gemu takatifu. Mkimaliza hapo, hamkumbuki hata mlikuja kufanya nini, kila mmoja anatafuta nguo zake, mlango wa kutokea upo wapi, unaangalia kushoto kulia usije ukagongana sura na mtu unayemjua... haooo...
Hahaaa. Achaga basi kuongea ukweli saa nyingine.
 
Aisee...haya masuprise unaweza kuzimia hivi hivi....! Ver interesting .... I love the Idea, na mm nitamfanyia mtu, tena ni member mzuri tu humu humu JF....!
 
Hahahahahahahahahahaha tena uiweke U-tube tuisubscribe
 
Back
Top Bottom