Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,414
- 829,757
Naombeni sana msaada kwa mods
Nisaidieni kuiweka vizuri video hii ili na kwa wale watumiaji wa simu waweze kuitazama video hii vizuri
Wamtazame bibi huyu aliyoyanena kwa taifa akiwahusia wana wa Tanzania
Video ipo hapa chini
https://vimeo.com/139148688
Cc Moderator Invisible
Kutukana lakini kamwaga point za kufa mtu
Last edited by a moderator: